'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

Kalagabaho mkuu! Kinana ndiye ambaye mwaka 2005 alikuwa anampigia upatu Malecela kwenye uteuzi wa kuwa mgombea wa ccm ila akaishia kuambiwa na Kingunge "Kaa kimya Msomali wewe wakati Watu tunajadili mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu" then Malecela akapigwa chini kwenye 3 bora ilomalizika kwa Kikwete kuwa mgombea urais
 
Kuna mizigo mipya lakini imeng'ang'ania, ambayo ni Pinda, Werema, na Mkuchika.

Hii sijui imeponaje leo.... Ila ijiandae manake hata yenyewe ni bure kabisa.......ccm mizigo ni mingi daaah.... Karibu yote ni mizigo
 
Nadhani Mzigo ni Kikwete mwenyewe,Mawaziri wake wanaonewa,Nadhani ndiye Rais pekee Duniani aliyevunja rekodi ya Baraza lake la Mawaziri kuvunjwa zaidi ya mara tatu!!
 
Tena zigo kubwa ndio limemuagiza pinda kuhakikisha kuwa mzigo mdogo mathayo anajiuzuru. bado mamizigo wengine wanamsubiri mwenye mzigo ambaye kuna mzigo una msumbua yuko marekani.

Nimekupata mkuu. mizigo ni mingi kweli kweli.
 
CCM ina mizigo mingi sana. David Mathayo ndio pekee yake aliyekuwepo kwenye mizigo ya kwanza ya CCM.

Kina Kinana na Nape hakuwahi kuwataja kina Nchimbi, Nahodha na Kagasheki kuwa ni mizigo.

Sasa nina amini kuna mawaziri wengi mizigo katika serikali hii ya CCM.

Nasubiri JK siku ya kushughulikia mizigo ya awali. Baba Jk pakua mizigo meli inazama.

Siyo kwenye baraza la mawaziri pekee, kati ya mizigo mibaya MWIGULU NCHEMBA ni namba moja na ndio maana chama cha mapinduzi kinachukiwa mpaka na watoto.mzigo mwingine LUKUVI.Huyo ndio anaharibu nchi kwa kuwafundisha watu kuwa kiburi cha madaraka.
 
Leo sikuwasikia kabisa Lukuvi na Mwigulu kuleta miongozo yao.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

Aliyemnadi mkapa ni Nyerere.

Kigumu chama cha mizigo.
 
Kama Kagasheki ni mzigo basi Wasira, Malima, Chiza, Ghasia, Tibaijuka, Kawambwa, Mulugo, Mgimwa, Pinda ni tani 1,000 za mizigo.
 
Mzigo ni Kikwete. Aliingia kwa support ya mafisadi na majangili yanayosumbua mawaziri. Kila waziri anayezuia ujangili huondolewa na majangili. Kikwete jiuzuru uinusuru nchi hii.
 
Dah rais wetu alivyo kimeo badala ya kuwaajibisha mizgo hii utasikia kila m1 kapewa ubalozi kama alivyofanya kwa Jairo!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

May be hukuelewa heading ya post, katika mawaziri walotaja na dentist pamoja na vuvuzela kuwa ni mizigo, waziri wa ulinzi, mambo ya ndani na maliasili hawakuwemo, so chonde chonde ondosheni mizigo ilobaki
 
Nini kinaendelea kwa mawaziri waliotajwa kuwa mizigo ndani ya serikali baada ya wenzao kujiuzulu na wengine kufutwa kazi na rais kwa kashfa ya operation tokomeza?
 
Wameamua kushusha fuko la manyoya ilhali roba la misumari wakiendelea kuibeba.
 
Back
Top Bottom