Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

waziri mkuu awe wazi kidogo labda anataka serikali moja, iweje aitambue nchi ya zanzibar ambayo ilidumu chini ya mwezi mmoja baada ya mapinduzi na kutoitambua Tanganyika iliyodumu kwa muda wa miaka mitatu? lazima kuna walakini hapa.
 
Usisahau kuwa wanaCCM nao ni Watanzania na pia wameaminiwa kuwawakilisha Watanzania! After all Rasimu ya 3 itarudishwa kwa wananchi hao hao kuikubali ama kuikataa!

binafsi nitaikataa hata kwa kutembea uchi barabarani!
 
Namuunga mkono moja kwa moja eti mtu ana miaka 25 eti kwa sababu kapata tiketi ya kuingia bungeni kama mjumbe unasikia anasema serikali Tatu wakati hata wakati Tanganyika inapata uhuru hakuwepo,Pinda nakupongeza kwa msimamo wako thabiti

Msimamo upi ? wa kwamba si sahihi kudai Tanganyika kwa vile iliachwa zamani sana?
Mbona hii ni hoja dhaifu mno - hivi kweli PM ameshindwa kuwapatia Watanganyika sababu yenye mshiko zaidi ya hiyo?
Anasahau mjadala tulionao ni matokeo ya yale yaliyotokea 1964 na usahihi na uhalali wa Tanganyika haufutwi na muda!
 
Pinda , hajui watanzania wanataka Tanganyika ipi, sasa yeye ni waziri mkuu wa akina nani ? Mbona hajawahi kufika Zanzibar kikazi au kwa vile yeye ni waziri mkuu wa Tanganyika ? Huyu naye bure kabisa , hujitambui mzee wangu Pinda you better keep kimya please as u don't know...

pinda hajielewi kabisa, tangu aliporuhusu polisi kupiga raia naona damu za watanzania wasio na hatia waliopokonywa uhai wao kwa amri yake zinaanza kumtafuna.
 
Mkuu matatizo yakianza, kama tunavyoyatafuta sasa hivi kwa udi na uvumba, yanaweza kuchukua muda mrefu au hata yasiishe kabisa!

Better prevention than cure!

Prevention ipi kama malaria tu inaua watoto wetu mpaka leo????!!!!!

Matatizo gani yakianza,matatizo yapo tu na hayaonekani kuchukuliwa hatua madhubuti unatishia na yasiyoonekana???!!! Madawati hakuna,shule zinafungwa kwa kukosa choo cha shimo,umeme bei juu na gesi imo nchini,kina mama wanazalia chini! !!!!!!!!!

Fire brigade hoi, majambazi wanatamba, tembo wanateketea, dope kila kona matatizo gani tena unatishia????!!!!!

You are just about to be too late!!!!!!
 
Pinda ni waziri mkuu wa Tanganyika, sasa anapouliza swali kama hilo namuona yeye ndio wa ajabu , labda aulizwe kwanini hajawahi kufika Zanzibar kikazi ile hali yeye huitwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano ?
 
Msimamo upi ? wa kwamba si sahihi kudai Tanganyika kwa vile iliachwa zamani sana?
Mbona hii ni hoja dhaifu mno - hivi kweli PM ameshindwa kuwapatia Watanganyika sababu yenye mshiko zaidi ya hiyo?
Anasahau mjadala tulionao ni matokeo ya yale yaliyotokea 1964 na usahihi na uhalali wa Tanganyika haufutwi na muda!
Pinda ni waziri mkuu wa Tanganyika , ndio maana anaishia kwenye mikoa ya Tanganyika wakati wote wa ziara zake , mbona hajawahi kufika Zanzibar kikazi?
 
Jamani Tanganyika yetu mkoloni kaikuta mmetusomesha wenyewe tumeelewa tulipotoka na tunapoenda. Sasa napatata picha behind the scene ya katiba mpya

Ulisoma ila hukuelewa! Mkoloni alikuta eneo la Tanganyika ila hakuikuta Tanganyika, Unification ya Tanganyika iliundwa na Wakoloni hapo Berlin 1884, na Baadae yakafanyika mabadiliko kidogo kwenye Heligoland Treaty, History nadhani kwa viwango vya Sasa vya Form four ungepata Ufaulu hafifu!
 
Swali gani hili sasa???!!! Yaani ukivaa koti na suruali iwe suti halafu ukiambiwa uvue koti unauliza ntabaki na suruali gani???!!!!

Well ile ilopata uhuru 9 Disemba!!!!!

Haaaa haaaa! Kwa nini unataka hiyo tu wakati kulikuwa na Tanganyika kubwa zaidi ya hiyo? Au kipato chako kitaongezeka hiyo kitu ikirudi?
 
Tanganyika ya mkoloni?!!!
Hivi Pinda ana akili? Lini Tanganyika iliwahi kuwa ya mkoloni? Tanganyika imekuwa ya Watanganyika kabla, wakati na baada ya ukoloni. Muungano iliodhamiriwa na Nyerere na Karume umeshindwa kuwepo.

Hapa naona hati ya muungano iwekwe hadharani tuone kilichokubaliwa kisheria ni kipi. Tusije tukaweka maamuzi ya wananchi afu wakatuletea hati inayosema serikali 1
 
Pinda ni waziri mkuu wa Tanganyika , ndio maana anaishia kwenye mikoa ya Tanganyika wakati wote wa ziara zake , mbona hajawahi kufika Zanzibar kikazi?

Acha kumdharau PM wetu bwana! Ina maana haruhusiwi kutembelea kambi za JWTZ zilizoko Zanzibar au Ofisi ya TRA au pia hata Uhamiaji? Ngoja nijinoe kupiga Shule ya Uraia kwa baadhi ya watu humu!
 
Naona pinda katolewa kafara tena kama kawaida yake kama ilivyokuwa mgomo wa madaktari...
 
Haaaa haaaa! Kwa nini unataka hiyo tu wakati kulikuwa na Tanganyika kubwa zaidi ya hiyo? Au kipato chako kitaongezeka hiyo kitu ikirudi?

Kipato ni spill over tu kwani hata hivyo we hujui economic burden ambayo ni unevenly shouldered????!!!!
Hiyo kubwa ikipatikana si itakuwa jambo zuri zaidi na kama uta reason hivyo basi hakuna nchi sababu mipaka ni imaginary consesus tu!!!!!!

Kipato kikipanda au kikishuka wakati umo kwenu kuna taabu gani???!!!!
 
Prevention ipi kama malaria tu inaua watoto wetu mpaka leo????!!!!!

Matatizo gani yakianza,matatizo yapo tu na hayaonekani kuchukuliwa hatua madhubuti unatishia na yasiyoonekana???!!! Madawati hakuna,shule zinafungwa kwa kukosa choo cha shimo,umeme bei juu na gesi imo nchini,kina mama wanazalia chini! !!!!!!!!!

Fire brigade hoi, majambazi wanatamba, tembo wanateketea, dope kila kona matatizo gani tena unatishia????!!!!!

You are just about to be too late!!!!!!

Mhhhhh, kaazi kweli kweli! CCM wataku-disappoint kwa mawazo yako hayo! Serikali 2 are here to stay. Tena kama mna mawazo haya kumbe ni afadhali ya Serikali 1 maana hata hizo 3 zitatusumbua! Mfano mzuri ni EAC yenye Serikali 5! Yaani hata Political Fedearation halijaanza watu wanafikiria kutengana! Solution ya kudumu isiyokuwa na longolongo ni SERIKALI MOJA! N/goja nianze sasa kuipigia debe, hata kama wengine hawapendi!
 
Kipato ni spill over tu kwani hata hivyo we hujui economic burden ambayo ni unevenly shouldered????!!!!
Hiyo kubwa ikipatikana si itakuwa jambo zuri zaidi na kama uta reason hivyo basi hakuna nchi sababu mipaka ni imaginary consesus tu!!!!!!

Kipato kikipanda au kikishuka wakati umo kwenu kuna taabu gani???!!!!

Usifikirie mapato tu, hata matumizi hatufanani! Kuna watu hawalipii matumizi katika JWTZ lakini wana kelele sijapata kuona! Hapa dawa yake kumbe nimeona ni kuwa na SERIKALI MOJA tu wala si MBILI!
 
Naona pinda katolewa kafara tena kama kawaida yake kama ilivyokuwa mgomo wa madaktari...

Kwani hana Mamlaka jamani? Kawaida ya watz ni kujadili personalities badala ya idea! Tulianza na Warioba, leo Pinda na kesho atakuwa labda JK, who knows? Haya tuendelee jamani kumjadili PM wetu!
 
Mhhhhh, kaazi kweli kweli! CCM wataku-disappoint kwa mawazo yako hayo! Serikali 2 are here to stay. Tena kama mna mawazo haya kumbe ni afadhali ya Serikali 1 maana hata hizo 3 zitatusumbua! Mfano mzuri ni EAC yenye Serikali 5! Yaani hata Political Fedearation halijaanza watu wanafikiria kutengana! Solution ya kudumu isiyokuwa na longolongo ni SERIKALI MOJA! N/goja nianze sasa kuipigia debe, hata kama wengine hawapendi!

Anakuwa disapointed mtu asiyejua,anayejua ndo keshajua kuwa so and so ni hivi au vile sasa ni uamuzi wake tu kuamua kwa utashi na sio hear says za kuwa mtapata matatizo sijui prevention is better na kama hayo ya Sudan mmewaona!!!!!!

Halafu unajua kurubuniwa na kudhulumiwa ni tofauti eeenh,sasa ajuaye harubuniwi ila hudhulumiwa tu!!!!!! Upo mkuuu??????

Hayo mawazo ni kukuamsha tu kuwa kazi ipo hata ikija serikali moja sasa watu ni alert and apt!!!!
 
Usifikirie mapato tu, hata matumizi hatufanani! Kuna watu hawalipii matumizi katika JWTZ lakini wana kelele sijapata kuona! Hapa dawa yake kumbe nimeona ni kuwa na SERIKALI MOJA tu wala si MBILI!

Hapana mie ninataka mbili au moja kama muundo wa Muungano utarejewa upya kwa kila kipengele na kila upande ukaridhia.
 
Usifikirie mapato tu, hata matumizi hatufanani! Kuna watu hawalipii matumizi katika JWTZ lakini wana kelele sijapata kuona! Hapa dawa yake kumbe nimeona ni kuwa na SERIKALI MOJA tu wala si MBILI!

Umeanza kuamka sasa why keeoing all noises kwa gharama???!!!!
Yes moja tu ya TANGANYIKA yetu!!!!!
 
Back
Top Bottom