Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

jamani mnakataa selikali tatu wakati znz ina katiba yake, rais,bunge sasa ukubara mundo ukoje RAIS JAMUULI, WAZILI JAMUULH, KILAKITU JAMUULI. huu ni unafiki ni sawasawa nakufananisha tabia za MBUNI
 
Namuunga mkono moja kwa moja eti mtu ana miaka 25 eti kwa sababu kapata tiketi ya kuingia bungeni kama mjumbe unasikia anasema serikali Tatu wakati hata wakati Tanganyika inapata uhuru hakuwepo,Pinda nakupongeza kwa msimamo wako thabiti

Umri si hoja na si lazima uwepo ndio uweze kuchambua mambo. Watu wanachambua mambo kila wakati na ndiyo sababu ulimwengu unasaonga mbele. Uingereza imeungana kwa miaka 300 lakini mwaka huu Scotland watapiga kura kubaki au kutoka kwenye muungano. Mabadiliko ni lazima ktk historia ya binadamu
 
Na sisi tunamrudishia swali.

Je,Tanganyika ilikufa tarehe 26 April 1964?

Kama jawabu ni ndiyo basi hatutaki longolongo atuonyeshe tu hiyo document ya kifo cha Tanganyika.

Nafikiri katika uchaguzi ujao CCM wanahitaji kupumzishwa angalau kwa miaka mitano ili tuwaone wapinzani nao wana nini cha kutupatia katika miaka mitano hiyo.

Nchi zikishaungana kuzaliwa nchi mpya huwa hazibaki zile zile kisheria, hata kama majina ni yale yale! Kwa mfano, Jamhuri ya Watu wa Zanzibar haipo kisheria (ie Sheria za Kimataifa) ndio maana wakienda UN kwa jina la Zanzibar Ban Ki Moon anawashangaa wanatafuta nini na wametoka wapi! Pia Jamhuri ya Tanganyika haipo kisheria za kimataifa! Zilikufaje? Soma Sheria ya Muungano, Na. 22 ya mwaka 1964. Kama utakuta maneno Zanzibar au Tanganyika ujue si kwa maana ya nchi! Hata mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar kuifanya Zanzibar kuwa "nchi" ni kujifurahisha tu (ni symbolic)! Hata Wapalestina nao siku hizi wanajiita "State," japokuwa kwa upande wao ni tofauti kidogo maana wao wana "Observer Status" huko UN!
Wazenj kama wana "nchi" kwa nini kila siku wanadai eti "tunataka nchi yetu?"
 
well said pinda we really don't need Tanganyika right now, we only need strong Tanzania...wanaotaka Tanganyika hawaitakii mema hii nchi wanafanya hivyo kwa ajiri ya kuikomoa Zanzibar bila ku analyze faida na hasara zake
 
Hii nchi inakoelekea sio kuzuri, serikali bila aibu inalazimisha serikali 2 wakati wanajua wazi serikali ya Tanganyika haisurvive? Mbona Zanzibar wanakatiba yao, bendera yao na kila kitu cha msingi wanacho na bado wanatunyonya kwa kutumia raslimali zetu? Tunaitaka Tanganyika yetu! Wala hatuna haja na muungano wenu rudini pemba/unguja na waliopo zenj warudi kwao Tanganyika!

Pinda anauliza, unataka Tanganyika ipi?
 
Na sisi tunamrudishia swali.

Je,Tanganyika ilikufa tarehe 26 April 1964?

Kama jawabu ni ndiyo basi hatutaki longolongo atuonyeshe tu hiyo document ya kifo cha Tanganyika.

Nafikiri katika uchaguzi ujao CCM wanahitaji kupumzishwa angalau kwa miaka mitano ili tuwaone wapinzani nao wana nini cha kutupatia katika miaka mitano hiyo.
Umesema vyema
 
Nchi zikishaungana kuzaliwa nchi mpya huwa hazibaki zile zile kisheria, hata kama majina ni yale yale! Kwa mfano, Jamhuri ya Watu wa Zanzibar haipo kisheria (ie Sheria za Kimataifa) ndio maana wakienda UN kwa jina la Zanzibar Ban Ki Moon anawashangaa wanatafuta nini na wametoka wapi! Pia Jamhuri ya Tanganyika haipo kisheria za kimataifa! Zilikufaje? Soma Sheria ya Muungano, Na. 22 ya mwaka 1964. Kama utakuta maneno Zanzibar au Tanganyika ujue si kwa maana ya nchi! Hata mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar kuifanya Zanzibar kuwa "nchi" ni kujifurahisha tu (ni symbolic)! Hata Wapalestina nao siku hizi wanajiita "State," japokuwa kwa upande wao ni tofauti kidogo maana wao wana "Observer Status" huko UN!
Wazenj kama wana "nchi" kwa nini kila siku wanadai eti "tunataka nchi yetu?"
Nilisema mapema kabisa kuwa sitaki longolongo!

Kama Tanganyika ilikufa basi tuonyeshwe document yoyote ile ya kifo cha Tanganyika.
 
Umri si hoja na si lazima uwepo ndio uweze kuchambua mambo. Watu wanachambua mambo kila wakati na ndiyo sababu ulimwengu unasaonga mbele. Uingereza imeungana kwa miaka 300 lakini mwaka huu Scotland watapiga kura kubaki au kutoka kwenye muungano. Mabadiliko ni lazima ktk historia ya binadamu

Mbona hatujifunzi mambo ya Sudani Kusini ambao walirukaruka na kusherehekea "uhuru" toka Sudani? Dhambi ya kujitenga huwa haina mipaka, mkumbukeni Mwalimu Nyerere!
 
Nilisema mapema kabisa kuwa sitaki longolongo!

Kama Tanganyika ilikufa basi tuonyeshwe document yoyote ile ya kifo cha Tanganyika.

Kama unafikiri bado hizo nchi zipo katika Sheria za kimataifa basi tunaomba ushahidi, sio longolongo!
 
Jamani serikali
mbili ndio mpango mzima changamoto zipo ndio zinatakiwa zishughulikiwe kwenye katiba mpya ili udumu miaka miamoja ijayo
 
Namuunga mkono moja kwa moja eti mtu ana miaka 25 eti kwa sababu kapata tiketi ya kuingia bungeni kama mjumbe unasikia anasema serikali Tatu wakati hata wakati Tanganyika inapata uhuru hakuwepo,Pinda nakupongeza kwa msimamo wako thabiti

Hoja yako ni ya kitoto! Unamaanisha huwezi kudai kitu ambacho hujawahi kukiona? Kwa hiyo unataka kumaanisha kwamba wakati mwalimu nyerere anadai uhuru aliwahi kuiona tanganyika huru hapo kabla?
 
well said pinda we really don't need Tanganyika right now, we only need strong Tanzania...wanaotaka Tanganyika hawaitakii mema hii nchi wanafanya hivyo kwa ajiri ya kuikomoa Zanzibar bila ku analyze faida na hasara zake
sajosojo..Zanzibar nao wanaitaka Nchi yao iwe na Mamlaka kamili..Je Wanajikomoa?
 
Last edited by a moderator:
Muungano huu penda tusipende, unaeleka ukingoni.Na serkali tatu ni steping stone kuelekea huko.Serikali mbili kamwe sasa haiwezekani maana ilisha shindwa mda mrefu.Iliundiwa wizara na mawaziri wamebadilishana lakini kero hazi iishi.
Kwa kuwa Watanganika ni waoga wa mabadiliko,lets try serikali tatu then tuishie kuuvunja muungano.
last year nilitembelea Zanzibar,nilikuwa na kundi la watu toka bara.Hakika walikuwa wakituita Watanganyika.Binafsi nililipenda jina hilo maana ndilo lililokuwa utambulisho wetu.
Serikali ya Tanganyika irudishwe na Serikali Tatu ndio suluhisho pekee kwa sasa.
 
Aisee hili Pinda halifi tu?
Ni yeye ndie alietibua mambo afu anataka kujikosha na pumba zake!
Pambaf sake mwache akafie mbele huko!
Namchukia kama mavi ya jirani!

!
!
ndugu wewe utakuwa unampenda nadhani. Yani mie huyu pinda ninavyomchukia afadhali hata shetani....simpendi simpendi yani mpaka basi yani alitakiwa kufa zamani mno. Sura baya ka kimba,mshamba, nyambafu kazi kuwaza nyuki tu
 
Back
Top Bottom