sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
..kwani kuna tofauti gani kati ya Tanganyika ya mkoloni na Tanganyika yenye uhuru wa miaka mitatu?kwani jina la Kenya au Uganda la sasa lina tofauti gani na jina lililokuwepo wakati wa ukoloni? kwani watu wanaposema wanataka Tanganyika wanamaanisha utawala wa Tanganyika wa kikoloni au ule wa miaka mitatu baada ya uhuru? mi binafsi napendeleo serikali moja lakini si kwa hoja dhaifu kama hii..
Dr.kitila mkumbo amewahi kuwa na msimo huu miaka ya nyuma na nilikuwa nashindwa kumshangaa kwa msomi kama yeye kuwa na msimamo uliokosa mantiki,baadae akaubadilisha.
Tujifunze kufikiri kwa kuzingatia mantiki..tusiwasikilize hawa wanasiasa wao wana maslahi juu ya hili..