Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Ndio inayotakiwa sasa "the core" sio hii sublimating country "Tanzania" isiyokuwa hata na tarehe ya uhuru wake!!!!!!!
Tulishaizika, Hilo jina Tanganyika hata asili yake haijulikani! Wengi walizaliwa Tanzania lakini wanavyoshabikia "Utanganyika" utafikiri wametumwa aiseee!