StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 5,631
- 5,919
Siyo Yusufu Tu mkuuYusufu pekee aliweza kuchomoka ktk dhambi hii,alikamatwa na mke wa waziri mkuu azini naye lakini alifanikiwa kukimbia na kumwachia vazi lake ambalo yule mama alimwonyesha mume wake eti yusufu alitaka kumbaka.tumheshimu mungu
Huyo anahitaji GEREJI ya kurekebisha uanaume wake. Aibu Sana!Kuna mwana kitaa alikuwa anakataa wanawake hata awe mzuri kiasi gani..
kuja kugundua wana wanampulia na ndio mchezo wake alihama mtaa maana ni aibu.
Akinizushia ndio anakuwa hawiki kweli?.Ukichomoa anakuzushia jogoo hawiki.
Nimekwambia mi sitegi,situmii mbinu yoyote....mimi nakutamkia nawe unakubali au kukataa mkuu
Kilichomsaidia Yusufu ni kujua madhara(hasara) atakazopata baada ya kuzini. Shida wengi wanaangalia utamu tu hawaangalii shubiriYusufu alitakiwa kujengewa sanamu la heshima kwa kuweza kuukwepa mtego wa mke wa Potipha,,, afu unaambiwa mke wa Potipha alikuwa pisi Kali Sana mpaka huwa najiuliza hivi mwamba Yusufu aliwezaje kuchomoka salama??
Kwani mkikutana mara ya kwanza mnpanga hata kukutana tena, vitu vitaflow accordingly ila kama vikikwama hakuna neno unaendelea na maisha yaani ukifanya maisha simple yatakuwa simple (let if flow)Imagine unakutana na mwanamke kwa mara ya kwanza, utakachokiona kwanza ni mwonekano wake, sasa unawezaje kutoa focus ili kuielekeza kwenye things that matter most? Zipi ni indicators za mapema kabisa kwamba huyu ndiye /siye?
Kwenye maandiko yusuphu alikufa akiwa na watoto? Isije ikawa alikimbia kuficha aibuYusufu pekee aliweza kuchomoka ktk dhambi hii,alikamatwa na mke wa waziri mkuu azini naye lakini alifanikiwa kukimbia na kumwachia vazi lake ambalo yule mama alimwonyesha mume wake eti yusufu alitaka kumbaka.tumheshimu mungu
Usijali wangu,muda utasemaNaomba na mm unitamkie tafadhali..
We una uhakika gani?? Kama kweli yusufu alipiga halafu akasahau nguo yake ila kwa aibu mfalme alipoibamba ikabidi yusufu akane??Yusufu pekee aliweza kuchomoka ktk dhambi hii,alikamatwa na mke wa waziri mkuu azini naye lakini alifanikiwa kukimbia na kumwachia vazi lake ambalo yule mama alimwonyesha mume wake eti yusufu alitaka kumbaka.tumheshimu mungu
Hivi mondi akiamua kula mademu wote wanaomtongoza, kwa siku atakula mademu wangapi?Signs za weak men no. 1 Kama ni hivyo mbappe,Messi,Ronaldo,dangote,bakhresa,mondi,konde,burna boy,davido wote wangewakubalia videmu wote kuwa na msimamo brazia
Ukiniona hutonitazama Mara mbiliWe ni mzuri basi ndo maana
Nipo kawaida sana but ndo ivoEbu weka picha yako hapa , hiyo confidence iendane na picha
A man of focusNimekwepa mitego mingi sana mkuu. Mingi mno,Wamama,Wake za watu,wanafunzi n.k. Mbinu ninayoitumia ni Moja Tu. KUJUA NIPO DUNIANI KUFANYA NINI(MAONO YANGU YA MAISHA). HIVYO KUEPUKA VISHAWISHI INAKUWA RAHISI. Kuna siku niliikwepa kanga moko moja hivi matata Sana!. Mweupe pe halafu ana nyamanyama zenye Milima na mabonde!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Ana 16m followers IG ke ni 10m tuseme kati ya hao 1m wanamtongoza daily do the math bro ni jambo la kujizuia tuHivi mondi akiamua kula mademu wote wanaomtongoza, kwa siku atakula mademu wangapi?
Kumaanisha ww ni mzuri au mbaya #just curious#Ukiniona hutonitazama Mara mbili
Usichelewe tafadhal........Usijali wangu,muda utasema