SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Signs za weak men no. 1 Kama ni hivyo mbappe,Messi,Ronaldo,dangote,bakhresa,mondi,konde,burna boy,davido wote wangewakubalia videmu wote kuwa na msimamo braziaWanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari

