Mitandao ya kijamii na dada zetu

Mitandao ya kijamii na dada zetu

[/COLOR]

Dada zanguni fanyeni kazi kwa bidii hata kuuza vocha za simu
kunaweza kukupa pesa halali kuliko hizi za burebure huku ukibadilishana kwa kukodisha mwili wako utumiwe na mtoa pesa wakati hata moyo wako hauko kwake kimapenzi ila tu ni kuufanya mwili wako bidhaa ya kukodisha kwa watumiao kama ilivyotokea wiki hili habari za wakodisha miili kwa wapita njia huko Mbagala. Huku ni kujidhalilisha mno akina dada msijenge mno utetezi ukweli upo.
kama mnabadilishana pesa kwa mwili unasemaje pesa za bure wakti huduma imeuzwa hapo. hakuna cha bure dunia hii.
 
yaani siamini mtu anaweza kuomba namba leo, na huyu mkaka alivyo mwepesi katoa chapchap na mzinga juu siku hiyo hiyo.

Hata mi nashangaa sana na wengine actually humu wanaona ni sahihi kabisa kutoa namba kirahisi hivo....labda im the wierd one!
 
Hata mi nashangaa sana na wengine actually humu wanaona ni sahihi kabisa kutoa namba kirahisi hivo....labda im the wierd one!

wanaume wa sikuhizi wamekuwa wepesi sana na wanatongozeka kirahisi. kutembeza makojoleo yao hawaoni tabu.
 
Hata hatujatofautiana kifikra my dear ila tupo katika level tofauti za precaution kwako wewe unaona ni rahisi kuwa na marafiki na kuexchange phonenumber while kwangu mm nipo slow and i prefer it to be that…na huko international nod hakuna matatizo ndio maana mpaka wengine wanauzwa….Ni hatari sana aieee hii teknolojia inarahisisha mambo mengi mno lakini kuna consenquences!!
Kimsingi nimekuelewa ila thread kuna wakati kama zinajichanganya kwa nature ya watu walivyo.

kuna mwingine anakuja na thread eti hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume hapa panashingaza kidogo, kwa sababu mimi nakaa hotel mara nyingi na wanawake tofauti ambao sina wala sihitaji uhusiano nao kimapenzi na tunadiscuss business manner na kula pamoja tu.

Labda nilikigunduwa kuna wanaume labda hawajielewi au hawajui wanahitaji nini na bado Wabongo tunahitaji kupigwa msasa kuwa na know how ya social network.
 
[/COLOR]Ukweli unauma na lisemwalo si laja tu ila lipo. Kuna watu wameamua kuingia mitandaoni kwa utafiti na wameliona hilo. Mengi wamesema na kushuhudia ukiongea na wengi wanaeleza mbinu wanazotumia akina dada kuomba kama ifuatayo:
  • Simu yangu imeharibika naomba nitumie pesa ninunue
  • Nina birthday naomba pesa ya zawadi na kufanyia party
  • Nadaiwa pesa za pango la nyumba
  • Nimeishiwa nauli ya kwenda shule au kazini naomba pesa
  • Nimefiwa nahitaji nauli ya kwenda msiba
  • Nimeishiwa matumizi chuo na wazazi wangu hawana uwezo
  • Tumecheleweshewa mkopo nisaidie pesa
  • Naanzisha biashara niongezee mtaji
Na mengineyo mengi, hata tutetee namna gani hii biashara ya mitandaoni ipo na wanaeleza kabisa young money maker.

Kuna wanaodiriki kutumia zile sabuni za mchina kurudisha njia iwe ndogo aonekane ni kama bikra, kisha anatangaza kwa anaowafahamu wana pesa kwa ni bikra anataka dau kubwa wa kumtoa bikra.

Dada zanguni fanyeni kazi kwa bidii hata kuuza vocha za simu kunaweza kukupa pesa halali kuliko hizi za burebure huku ukibadilishana kwa kukodisha mwili wako utumiwe na mtoa pesa wakati hata moyo wako hauko kwake kimapenzi ila tu ni kuufanya mwili wako bidhaa ya kukodisha kwa watumiao kama ilivyotokea wiki hili habari za wakodisha miili kwa wapita njia huko Mbagala. Huku ni kujidhalilisha mno akina dada msijenge mno utetezi ukweli upo.
Naona umenikurupukia tu, ila ungeanza kwa kumshauri mwanaume mwenzio
 
kama mnabadilishana pesa kwa mwili unasemaje pesa za bure wakti huduma imeuzwa hapo. hakuna cha bure dunia hii.

UUzaji na ununuaji katika biashara ya ukahaba ni dalili tosha kujiruhusu kununua au kuuza ukimwi. Mazoea hujenga tabia, na pale mtu akishakuwa na tabia yake kujirahizisha kwa ngono anakuwa amejirahizisha pia kwa uwezekano wa kupata ukimwi.
 
Naona umenikurupukia tu, ila ungeanza kwa kumshauri mwanaume mwenzio

Haina maana niliyoandika yanakuhusu wewe, ila hapa tunajaribu kuwakumbusha wenye tabia hizo na mbinu wazitumiazo. Kinachofanyika hapa ni kuwaasa kuachana na tabia ya kutaka vya bure maana ni utumwa.
 
Usitoe namba ya simu kwa mtu usiemjua. Kuna majinga mengine yanatoa no visa/master card mitandaoni! Siku hizi scamers wanaweza translate lugha kupitia search ingines. Ukitoa tuu unajuta kuzaliwa,kuna cybercrimes za hali ya juu sana hasa kwenye e-commerce.
 
Kimsingi nimekuelewa ila thread kuna wakati kama zinajichanganya kwa nature ya watu walivyo.

kuna mwingine anakuja na thread eti hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume hapa panashingaza kidogo, kwa sababu mimi nakaa hotel mara nyingi na wanawake tofauti ambao sina wala sihitaji uhusiano nao kimapenzi na tunadiscuss business manner na kula pamoja tu.

Labda nilikigunduwa kuna wanaume labda hawajielewi au hawajui wanahitaji nini na bado Wabongo tunahitaji kupigwa msasa kuwa na know how ya social network.

jamani Matola unaitwa na lusungo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom