Mitandao ya kijamii na dada zetu

Mitandao ya kijamii na dada zetu

Heh! Inawezekana kuwa wanamme?

Una uhakika kama ni changudoa? kwa nini usiamini ni wasanii wapo kinondoni na line yao ya mpesa wanakusanya pesa za wajinga?
Naamini huo ni mtandao wa wanaume stuka.
 
Heh! Inawezekana kuwa wanamme?

Na kuna wale wapopo wanaotumiaga profile pic za warembo kukutumia inbox Facebook halafu contanct wanataka uwasiliane nao kwa e-mail, hivi ukipigwa kwa style hiyo si nikujitakia?

Sijui upande wa wanawake na nyinyi mnatumiwaga hizo msg na matajili wa kiume waliopo nchi za nje wakiwaambia wako interested nanyi?
 
haya usilalame ukiombwa hela…toa sadaka

Ni wapi mimi nilipolalama kuombwa hela? unajuwa kusoma lakini?

Nilichoandika na ninachoamini kwenye social network nahitaji zaidi marafiki ambao sifahamiani nao I need new things everyday.

Bado uwepo wa internet nadhani unawanufaisha Watanzania wachache sana kwa sababu ya mindset na kutokuwajuwa kutumia fursa za connection.

Zamani kabla ya mapinduzi ya tekinolojia tulikuwa tunasoma tu kwenye magazeti na kupata marafiki ulaya mpaka inafikia hatuwa unawaalika kwetu anakuja na yeye anakualika nchini kwao unakwenda, sasa leo kuna internet kwenye Facebook friends wako kwanini wajae kina mwajuma mke jina chausiku shida and likes? to me no way.
 
Kwani mleta mada anaongelea nini?kila mtu anatumia hizi social networks kwa matakwa yake kuna matapeli,wezi,malaya,watu wenye nia njema n.k kwahio unapaswa kuwa makini kukubali friend request za watu usowafahamu au kubali friend request ujuane na mtu taratibu kabla hamjabadilishana namba za simu kwa sababu hapo mmenda next level unampa urahisi huyo mhusika mwengine wa mawasiliano!mfano hapa JF ukianza kujuana na mtu mnajuana taratibu mnasomana kisha mnahamia next level...sio unaombwa namba ya sim mbiombio ushaitoa kama ni jangili je kha!
 
Tatizo lenu kubwa ni kugeneralise watu, mimi JF inbox yangu ni ya kibiashara zaidi kubadilishana namba za simu ndani ya siku moja na member kwangu siyo issue, si kila mtu anahitaji mawasiliano kwa negative issues.

Ndio maana siku hizi hata namba za viongozi zinapaswa ziwe wazi kwa public ili zitumiwe wanapohitajika.

Narudia tena I need new things everyday.
 
Nawe upo cheap mnoooo khaaaaa
yani kimtu cha mtandaoni wala hukijui ushatoa namba
na hapo ni wa kiume ungekuwa mwanamke je?

Ukweli unauma na lisemwalo si laja tu ila lipo. Kuna watu wameamua kuingia mitandaoni kwa utafiti na wameliona hilo. Mengi wamesema na kushuhudia ukiongea na wengi wanaeleza mbinu wanazotumia akina dada kuomba kama ifuatayo:
  • Simu yangu imeharibika naomba nitumie pesa ninunue
  • Nina birthday naomba pesa ya zawadi na kufanyia party
  • Nadaiwa pesa za pango la nyumba
  • Nimeishiwa nauli ya kwenda shule au kazini naomba pesa
  • Nimefiwa nahitaji nauli ya kwenda msiba
  • Nimeishiwa matumizi chuo na wazazi wangu hawana uwezo
  • Tumecheleweshewa mkopo nisaidie pesa
  • Naanzisha biashara niongezee mtaji
Na mengineyo mengi, hata tutetee namna gani hii biashara ya mitandaoni ipo na wanaeleza kabisa young money maker.

Kuna wanaodiriki kutumia zile sabuni za mchina kurudisha njia iwe ndogo aonekane ni kama bikra, kisha anatangaza kwa anaowafahamu wana pesa kwa ni bikra anataka dau kubwa wa kumtoa bikra.

Dada zanguni fanyeni kazi kwa bidii hata kuuza vocha za simu kunaweza kukupa pesa halali kuliko hizi za burebure huku ukibadilishana kwa kukodisha mwili wako utumiwe na mtoa pesa wakati hata moyo wako hauko kwake kimapenzi ila tu ni kuufanya mwili wako bidhaa ya kukodisha kwa watumiao kama ilivyotokea wiki hili habari za wakodisha miili kwa wapita njia huko Mbagala. Huku ni kujidhalilisha mno akina dada msijenge mno utetezi ukweli upo.
 
Tatizo lenu kubwa ni kugeneralise watu, mimi JF inbox yangu ni ya kibiashara zaidi kubadilishana namba za simu ndani ya siku moja na member kwangu siyo issue, si kila mtu anahitaji mawasiliano kwa negative issues.

Ndio maana siku hizi hata namba za viongozi zinapaswa ziwe wazi kwa public ili zitumiwe wanapohitajika.

Narudia tena I need new things everyday.
Hio inaitwa "BEING PRECAUTIOUS" sio generalisation!Ushasema wewe ni mfanya biashara kwahio ndio maana unaona si tatizo kwako kwasababu ni njia mojawapo ya mawasilino ya biashara kwako sio njia ya kujenga urafiki!Kwasababu ukijenga urafiki kuna vitu lazima uvifikirie na consequences,ni kama useme nimejuana na leo Matola leo nikueleze kwangu while i know nothing abt you,C`mon dude!Hujui sehemu nyingine ukitoa namba yako mtu akikugoogle anapata mpaka address ya unapoishi we vp?!And if you need new things everyday that "ACCORDING TO YOU"!
 
Last edited by a moderator:

You mislead my point, mimi sijabase kwenye wapiga mizinga wala flirting kwenye Facebook ninachosisitiza mimi nahitaji zaidi marafiki ambao hatufahamiani nina mengi nahitaji kujuwa kutoka kwao na hapa unielewe very clear.

Kwenye Facebook kuna kuomba na kuombwa urafiki, unapoombwa na mtu urafiki cha kwanza ni kuview profile yake itakupa majibu mazuri na kama settings zake amelock privacy basi wachache sana akili kichwani mwako.

Pili kuna kuomba urafiki hapo ndio fursa ya wewe kuchaguwa unahitaji marafiki wapya kutoka bara gani na siyo kusearch jina la next door umtumie friend request.

Mimi nadhani tunatofautiana sana kwenye fikra, wakati wewe unawaza mtu wa kujuwa kama unakaa mikocheni, mimi nawaza mtu ajuwe I have friend request from Africa.

Inshort wewe unawaza in local circumstances wakati mimi niko international levels of friendship.
 
Last edited by a moderator:
You mislead my point, mimi sijabase kwenye wapiga mizinga wala flirting kwenye Facebook ninachosisitiza mimi nahitaji zaidi marafiki ambao hatufahamiani nina mengi nahitaji kujuwa kutoka kwao na hapa unielewe very clear.

Kwenye Facebook kuna kuomba na kuombwa urafiki, unapoombwa na mtu urafiki cha kwanza ni kuview profile yake itakupa majibu mazuri na kama settings zake amelock privacy basi wachache sana akili kichwani mwako.

Pili kuna kuomba urafiki hapo ndio fursa ya wewe kuchaguwa unahitaji marafiki wapya kutoka bara gani na siyo kusearch jina la next door umtumie friend request.

Mimi nadhani tunatofautiana sana kwenye fikra, wakati wewe unawaza mtu wa kujuwa kama unakaa mikocheni, mimi nawaza mtu ajuwe I have friend request from Africa.

Inshort wewe unawaza in local circumstances wakati niko international levels of friendship.
Hata hatujatofautiana kifikra my dear ila tupo katika level tofauti za precaution kwako wewe unaona ni rahisi kuwa na marafiki na kuexchange phonenumber while kwangu mm nipo slow and i prefer it to be that…na huko international nod hakuna matatizo ndio maana mpaka wengine wanauzwa….Ni hatari sana aieee hii teknolojia inarahisisha mambo mengi mno lakini kuna consenquences!!
 
Back
Top Bottom