Mitandao ya kijamii na dada zetu

Mitandao ya kijamii na dada zetu

mi sidhani kama walikuomba hivi hivi labda profile yako umejaza mambwembwe kibaaaao
 
Tehe..at first i thout of it coz prof ilikua ikinionyesha mtanashat...nikabadil nikamu-attach na bibie wang...kibom kipya tena...loooh
 
ha ha ha ha,na yale maelezo mengine vp, mpiga kibom picha haimzuii kitu mkuu
 
saana, ila isingechukua muda angepata habari yake na wale majini wa fb plus wezi
Mi naonaga mauza uza na hainiingii akilini
rafiki wa mtandaoni especially wanaume simjui hanijui anaomba namba
no pliz siioni sababu ya kutoa namba hapo
 
Ndo mana ikawa ww...wenzio wanatoa labda utusaidie kuwaambia
 
Back
Top Bottom