Wadau niwasalimu kwa heshima zote,
Pia niitumie fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushauri murua kuhus namna nzuri ya kubana matumizi na kuepuka madeni,,kwa kweli mmenifaa..
Back to the topic..juzi wkend nkiwa nimejipumzisha kwangu naperuzi fb nikapata frend request ya mdada....nkamkubali,, baada ya mda akantuma msg kua nimtumie no zangu..na mimi sikua nimeona tabu nikampa nkajisemea may b she knew me!..
Kidogo nikabipiwa napiga anajitambulisha kwa jina lile nikasema ooh nambie vipi..
Akaanza ooh kaka angu mimi sikufahamu wala we hunijui ila nina shida la elfu 45 niko kigoma nataka nije na ndege ya jion my mam anaumwa yupo mwanza..heee nikasema makubwa!!...
nikajisemea dada ungejua metoka kupata shule ya ubahil aka kubana matumiz!...nikamwambia dada samahan sina!!!!!!!!....
Leo tena nikaombwa urafiki na mrembo nikamkubali...badae naingia nakuta msg kaka angu samahan naomba elfu 25 nihudhurie mazishi ya mama angu mm nipo ddma msiba upo Dar...
haaaaa!!!! helll noooo!!!!awa wamelogwa??nani kawaambia mimi mengiii!!!!
Sio kila thread inahitaj ushauri...
Afadhari umekuwa mkweli wanaume wengi wameliwa na wanaliwa sana pesa kwa style ya urafiki wa fb. 20, 30 alfu watu wametuma sana.Wadau niwasalimu kwa heshima zote,
Pia niitumie fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushauri murua kuhus namna nzuri ya kubana matumizi na kuepuka madeni,,kwa kweli mmenifaa..
Back to the topic..juzi wkend nkiwa nimejipumzisha kwangu naperuzi fb nikapata frend request ya mdada....nkamkubali,, baada ya mda akantuma msg kua nimtumie no zangu..na mimi sikua nimeona tabu nikampa nkajisemea may b she knew me!..
Kidogo nikabipiwa napiga anajitambulisha kwa jina lile nikasema ooh nambie vipi..
Akaanza ooh kaka angu mimi sikufahamu wala we hunijui ila nina shida la elfu 45 niko kigoma nataka nije na ndege ya jion my mam anaumwa yupo mwanza..heee nikasema makubwa!!...
nikajisemea dada ungejua metoka kupata shule ya ubahil aka kubana matumiz!...nikamwambia dada samahan sina!!!!!!!!....
Leo tena nikaombwa urafiki na mrembo nikamkubali...badae naingia nakuta msg kaka angu samahan naomba elfu 25 nihudhurie mazishi ya mama angu mm nipo ddma msiba upo Dar...
haaaaa!!!! helll noooo!!!!awa wamelogwa??nani kawaambia mimi mengiii!!!!
Sio kila thread inahitaj ushauri...
Angekuambia mkutane mkanywe na ''kucheza gwaride'' sijui nani angekuwa cheap? ngoma suluhu au droo.
This guy is so lucky, am gonna have to open a FB account too.Never happened to me aisee
This guy is so lucky, am gonna have to open a FB account too.
Si umesikia kule wanakuchokoza wenyewe tu, hapa mpaka uwasotee weee, aah!.Why ufunge safari hadi fb wakat hata hapa wachunaji tupo
Gwaride la Chipukizi, au lile la wajeda kabisa...🙂
Nanguo zake?ha hahaha wakifika kumi basi mpe nauli mmoja
Hata hapa JF wapo kibao huko PM...
Vinapiga piga tu wanaume mizinga kama vimalaya vile...
Si umesikia kule wanakuchokoza wenyewe tu, hapa mpaka uwasotee weee, aah!.