Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,038
- 134,304
We tuheshimiane sijamwita mtu mimi
tupe experience za ugambani,nasikia mnagongewa mpaka wake zenu na waheshimiwa magamba
We tuheshimiane sijamwita mtu mimi
hata wewe uache tabia za kuni-pm kuniomba omba hela,nnajenga sa ivi
Ha ha ha kwanza nlisahau kukushukuru ahsante kwa ile laki 2, nimepata shida tena dear naomba laki tu
mmmmmmmmmmmmhhhh!!!
We jaribu kufungua ID ya kiume halafu uone PM yako itavyojaliwa na wapiga mizinga...
tupe experience za ugambani,nasikia mnagongewa mpaka wake zenu na waheshimiwa magamba