!
!
ila pia kuna vibandani na sultani area au karume...hii mitaa ni hatari kwa wageni. Kuna hii njia ya kwenda morogoro hotel kutokea hospitali mpaka nguzo, usiku kuna vibaka kinyama. Lakini pia kuna akina watoto wa forest bodaboda wako shuleni juu pale wanajiita michezo ya kuzidi wao mchana raia wema ila usiku kaa chonjo kwani wana michezo ya kuzidi......wapi pispo spy, bokasa, side konko d, maanina. Salute.