Kumheshimu mume ni raha sana

Kumheshimu mume ni raha sana

Haya tumekuelewa huyo mwanamke yuko wapi tuje tumfanyie utafiti kama kweli anampenda mumewe!
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na mama kama huyo hara kuchepuka unaona aibu huwezi jaribu hata siku moja. Mungu awabariki sana.
 
Kwa kweli heshima kwenye ndoa Ni muhimu Sana,yaani kila mtu mume na mke wote wasimame nafasi Yao.Mimi ninaushuuda kwenye ndoa yangu ya miaka 16 sijawai kujutia ndoa yangu Ni burudani yaani kila simu Yuko honeymoon.haina maana atutofautiani laa kila mtu anasimamia misingi ya upendo na kuheshimiana

hongera mkuu.
Mungu azidi kuwaongoza.
Mtuombee na sie tuwe na ndoa za aina hizo au zaid
 
huyo mama anajielewa, siyo hawa wa kisasa kila kitu afanyiwe na housegirl + ubeijini mwingiiii hadi kero

we sikia tu wanavyoongea bila haya, eti anaheshimu anayemuheshimu!!
 
Mmmmmmmmmmmmmmh!

KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.

KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.

Hahaaaaaaaaaa! looooooooools Shikamoo pesa!
 
Labda kama sio hichi kizazi kinachohalalisha michepuko na kutokujua majukumu name nafasi Zhao kawa wanaume
 
Mmmmmmmmmmmmmmh!

KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.

KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.

Daah, haya bana! ila kuna ukweli asilimia nyingi tu kama si zote
 
Dada zetu utandawazi unawaharibu sana. Kwa hiyo ukikosewa heshima nawe unamkosea heshima? Nani atajifunza kwa mwenzake?...no wonder ndoa nyingi zipo ICU.

unamuheshimu weeeeeeeeeeeee mpaka inakua kero! !
 
kwakweli wameharibiwa na utandawazi, haya mashirika/ngos yamewaharibu sana tena ukijumlisha na hii michezo ya kuigiza/tamthiria ndio balaa!mwanamke anataka kuwa juu kwa kila jambo kila kukicha usawa wao ni kudai usawa tu yaan ni shiida tupu!
 
Haahahahaaaaaaaaaaaa! Nishashua kitu cha NUCLEAR A ATOMIC BOMB!

Usingeshusha ningezimia deliberately! BTW u hali ganiii na naomba unijibu kwanini siku hizi sikuoni kiviiiile humu na hutumi mikombora as u used 2
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmmmmmh!

KUMUHESHIMU MUME MWENYE MAHELA KUNAKUJA AUTOMATICALLY TU! Bila jitihada wala bidii binafsi. Manake unajua ukilegea tu NAFASI ISHAKAVWA KITAMBOOOO! Hata kama umenuna ukikumbuka mipea ya viatu isiyo na idadi, kabati la milango sita halifungi lilivoj minguo, simu gani iingie ukose, ukikohoa ushapata, hata atembeze kikojoleo chake mji mzima wala huondoki humo ndani, labda utembeze viwembe tu kwa wadada wa mujini, ila kuachia ngazi watasubiri sanaa. Utahangaikaje kumpulizia incase umechuja kakuchoka choka kimtindo, Utamlisha mizaga yote ya kilingeni atulize korodani, wa kufa na kuzikana.

KUMUHESHIMU MUME HANA KITU, UNAMUWEKA WEWE MJINI, HICHO SI TU KIPAJI NI KARAMA YA KIPEKEE! Lol! Inahitaji mtaala na twisheni juu, maana motivation ni 0. Alijisemea shoga angu saa 7 tunatoka harusini club aulizwa mumeo sawa hakumind huhisi atachepuka hivi usivokuwepo. Akajibu yule bwana mi ndo namuweka mjini, kama kuna mdada na akili zake atamlegezea ampige FREE P, namruhusu tu, maana siku mbili atamchoka na kuniachia, sana sana atanigea off hizo siku 2.

Mistari mi3 ya.mwisho imenimaliza ngv..huyo ni mume au mpnz???khaa amejibu vbaya sijapenda kibaya zaidi kwa shoga zake..yeye ndo ana jiaibisha kukaa na mwanaume mzembe wakat yy ana uwezo
 
Kwa kweli heshima kwenye ndoa Ni muhimu Sana,yaani kila mtu mume na mke wote wasimame nafasi Yao.Mimi ninaushuuda kwenye ndoa yangu ya miaka 16 sijawai kujutia ndoa yangu Ni burudani yaani kila simu Yuko honeymoon.haina maana atutofautiani laa kila mtu anasimamia misingi ya upendo na kuheshimiana

Tuombee na sisi tunaotarajia kuingia huko...Mungu azd kuwatetea.amani izd kutamalaki ktkt yenu
 
mpaka unakubali kuolewa/kuoaana nae means mmpendana sasa kwann usimuheshimu? tatizo linalofanya wanandoa wasiheshimiane may be ni bad influence kutoka nje ingawa na mengine yanachangia, napenda wanandoa wanoonyesha upendo waziwazi hata watoto wanapata cha kujifunza angali wadogo
 
Wadau mnanifurahisha kwa kuona alichofanya mama tu...mbona hamuoni jinsi huyo mume anavyo behave...tabia ni response to external stimuli...kama hamnielewi kakojoeni mlale...

Hayo mambo ya kawaida sana ukiwa na a loving husband...alichoona mdau ni cha mtoto...

Lakini ukiwa na gume gume ..thubutu
 
Mistari mi3 ya.mwisho imenimaliza ngv..huyo ni mume au mpnz???khaa amejibu vbaya sijapenda kibaya zaidi kwa shoga zake..yeye ndo ana jiaibisha kukaa na mwanaume mzembe wakat yy ana uwezo

Hhahaaaaaaaa! Sasa ajifiche nini wakati sisi mashosti zake ndo anatukopa? Akijifanya mambo mazuri tunamdai fastaaa! Ukiukubali ukweli na kuuweka wazi watu wanauzoea na hawatokusumbua nao kabisaaa.
 
Back
Top Bottom