mule 80% vibaka wa kuraBunge la wezi wa kura.
The Independent Electoral and Boundaries CommissionKenya ipo mbele Sana Tz Bado hatujaamshwa.
Mbona na wao Kenya walikuwa na mgogoro na Tume yao ya Uchaguzi kupelekea wengine kufukuzwa na suala kupelekwa mahakamani. Masuala haya ni magumu sana kwenye siasa za AfrikaThe Independent Electoral and Boundaries Commission
Membership[edit]
The Commission is made up of seven commissioners and a CEO appointed by them (who also acts as the commission secretary). The commissioners are appointed by the President of Kenya and confirmed by the Kenyan Parliament. Each member serves a six-year term.[1] By law, no Commissioner can be a member of a political party, and at least four votes are required for any official Commission action. Once appointed, the new commissioners are sworn in by the chief justice in office at the time of their appointment.[5]
penye bold imekaaje, naomba unielewehe....kama upouuzi wa leo ulioletwa bungeni
Maelezo hayajshiba nyama mkuuIt is all stupid, wajumbe wote ni watu wa kuteuliwa na rais indirectly...Majai wote ni wateule wa rais....tume huru iko wapi hapo... johnthebaptist Pascal Mayalla
😃 Tanzania ngumu sana... Nilidhani hii ni hatua kubwa. Kumbe baaadoall is stupid publication, rubbish publications. Kila kitu kinateuliwa na rais....stupid
Je tuichukue ya Kenya kama ndio Tume ya Kuigwa??!The Independent Electoral and Boundaries Commission
Membership[edit]
The Commission is made up of seven commissioners and a CEO appointed by them (who also acts as the commission secretary). The commissioners are appointed by the President of Kenya and confirmed by the Kenyan Parliament. Each member serves a six-year term.[1] By law, no Commissioner can be a member of a political party, and at least four votes are required for any official Commission action. Once appointed, the new commissioners are sworn in by the chief justice in office at the time of their appointment.[5]
penye bold imekaaje, naomba unielewehe....kama upouuzi wa leo ulioletwa bungeni
sijui, nimesoma (juu juu) nayo naona Rais ana mkono wake, lkn utendaji wake ni independent Rais hawezi kumtisha mtu mle kwa sababu Rais hawezi kumfukuza................................Je tuichukue ya Kenya kama ndio Tume ya Kuigwa??!
Kwenye Bunge la kugonga meza.
Siasa za AFRIKA MASHARIKI na siyo Afrika tafadhari.Mbona na wao Kenya walikuwa na mgogoro na Tume yao ya Uchaguzi kupelekea wengine kufukuzwa na suala kupelekwa mahakamani. Masuala haya ni magumu sana kwenye siasa za Afrika
Hakujawahi kuwa na Bunge la kuchapana Makonde bali Bunge lenye mijadala maalum kumbuka Bunge la Mheshimiwa Sitta.Ulitaka bunge la kuchapana makonde au bunge lipi?
Mbona bado mamlaka bado iko kwa Rais?Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
- Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
- Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
😂😂Kwaheri Bandari zetu!
Exactly.It is all stupid, wajumbe wote ni watu wa kuteuliwa na rais indirectly...Majai wote ni wateule wa rais....tume huru iko wapi hapo... johnthebaptist Pascal Mayalla
Bila mabadiliko ya katiba kua tume huru nadhani inaenda kuwa vigumu sana. Ni kama ulivoandika kwamba kila kitu raisi anateua.all is stupid publication, rubbish publications. Kila kitu kinateuliwa na rais....stupid