Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Dah! Kauli yako tu mtu anakimbia
 
Haya ngoja waje wavaa kobazi mbebane.
Kumbuka hela hiyo haijulikani popote duniani
Ningoje tena? Watu tushawaficha ndani wewe unangoja waje?

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Kumbe Huwajuwi Waarabu duh mwaarahu anachelewa? Waarabu ni vitendo tu, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango wamekuwachieni mafala kama wewe.
 
Waarabu wa Dubai wana mchezo wa kupoteza muda?

Nyie mnabishana wao tayari washajenga Kigali.
Bibi uliyekaukiana kama slesi ya juzi, unakazana kweli kujibu upupu.

Unajidai kuweka picha ya majaliwa ya mwenzako. Wewe huna tako, huna sura na wala huna siha njema.

Ebu katumie dolido huko. Acha roho mbaya, nyama zijae kidogo kisha nifunge macho kukudinya.
 
Ningoje tena? Watu tushawaficha ndani wewe unangoja waje?

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Kumbe Huwajuwi Waarabu duh mwaarahu anachelewa? Waarabu ni vitendo tu, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango wamekuwachieni mafala kama wawekezaji.
Haya kibibi maana hamna jema kwako.
kaa huko upakatwe
 
Slesi? Unanifananisha na mama'ko?

Ngoma nzito hii, imeumuka:

 
Baby I love u ❤️ how much Sana mwa! mwa! niwekee moyoni mwako nami nimekuficha uvunguni mwa moyo wangu njoo nikumwage mmaa baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…