Bibi kwema? Naomba nialike karamu isiyo ya tumbo, kunywa na kusaza.
Kwa majaliwa ya Allah, umejaliwa visivyoisha hata uhai ujapotamatika.
Mimi ni jirani yako.
Mambo mrembo....😊Nenda kwa mama'ko ukanyonye.
Usinisahahu kwenye ufalme wako mhenga (Dirhams)Shindana dau na wenzako juu huko, wacheni vituko.
Ataepanda dau kubwa ndiyo yeye huyo.
Halafu siku hizi situmii shillingi kabisa natumia Dirhams.
Haya anza kupanda dau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi natakaa kuja kwako wee.Nenda kwa mama'ko ukanyonye.
Umeamua kujiuza rasmi na waziwazi kabisa, jamani??? Haya mambo mbona ni siri, we unayaletaje hapa hadharani??Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Siri ya nani? Kuna siri ya watu wawili? Kamuulize mama'ko alikupataje? Au bado unaamini alikwenda kukuchukuwa hospitali?Umeamua kujiuza rasmi na waziwazi kabisa, jamani??? Haya mambo mbona ni siri, we unayaletaje hapa hadharani??
Hata kama haukurudhika mrmbo, ndio unitangaze huku....😔Pole sana, nilifikiri rijali kumbe patupu. Mwanamme suruali.
Ndio nimeamini umepatwa na wazimu. Na sikukuu yote hii unaanzisha uzi wa kikahaba, unaharibu udhu wa watu!! Pole sana.Siri ya nani? Kuna siri ya watu wawili? Kamuulize mama'ko alikupataje? Au bado unaamini alikwenda kukuchukuwa hospitali?
Kama ulikuwa huelewi alianza kwa kunyanyuliwa miguu na makalio. Kama unabisha kamuulize.
Sasa km nakuja kwako kula sikukuu, hiyo sadaka napata wapiii?Kabla hujaja kwangu nikupe namba urushe sadaka yako kwa watoto yatima, utarusha ngapi?
Hakuna chakula cha bure. Kula uliwe.
Ustadhat kumbe mdangaji tuWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.