Huyo hata iweje hanifahamu kabisa. On the other hand, mimi namfahamu sana. Na wote niliomtajia anawafahamu sana.
Ss mm mpk nkutake ww nikose ela ya kukupeleka kubalizi ibiza kwel au shopping Paris jmn me congei mengi just simple & clear BAKI NA MIMI...Una hela?
Huyo hata iweje hanifahamu kabisa. On the other hand, mimi namfahamu sana. Na wote niliomtajia anawafahamu sana.
Usione anajisheua tu hapa, ni waleee.
Kuna mtu "public figure" mwandishi wa habari maaruf akaandika uharo kama huyo? Wasiofunga uharo si wanajulikana ni kina nani Wajerumai wanasema *springt tot", hivi mpaka watoke kabatini ndiyo muelewe? Kwa vitendo vyao tu yapaswa muelewe.
Nisome vizuri tu.Mzee wa hidden powers naona umeamua umwage na cv kabisa, ha ha, bibi aspokukubal hapo tena ana lake jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado hujaelewa tu, au hunisomi? Nisome taratiiibu utaelewa tu, halafu kama haumfahamu, siku anarusha kipindi chake mtazame vizuri. "Crystal clear" utanielewa tu.
Mh...naona hujanipenda Faiza.Hii: 1-403-268-5622
Nikupe namba ya kituo cha yatima uanze kutowa sadaka?
Naona mrembo umekaa kmy kuhusu jibu langu[emoji115][emoji115] guess whaaat?? Mtoto kaelewa so naenda ku win the battle na hii thread naiuwa rasmi woyooo!!!![emoji3][emoji3]Ss mm mpk nkutake ww nikose ela ya kukupeleka kubalizi ibiza kwel au shopping Paris jmn me congei mengi just simple & clear BAKI NA MIMI...
HahahaMkuu Mzee wa 74, wewe nawe!, FF ni mtoto wa uswazi, mitaa ya Gerezani, hizo maneno za dear
ni kwa watoto wa kishure, hawa kuku wa kinyeji wewe mwaga tuu mpunga, watakuja wenyewe!.
P
Umetuma TSh 27,000 kwenda kwa 2556251495xxx- CHIBUGA Y CHITEMO. Ada TSh 370. VAT TSh 56. Kumbukumbu no.: 93016192160. 28/01/20 16:41. Salio lako jipya ni TSh xxx,287. Asante kwa kutumia HaloPesa.Sawa, basi fanya kunitumia kwa Halopesa, jina litatokea CHIBUGA Y. CHITEMO [emoji120]
Wewe hata kuandika vizuri hujajuwa. Nipishe huko, kafanye homewok kwanza ya kujifunza kuandika.Ss mm mpk nkutake ww nikose ela ya kukupeleka kubalizi ibiza kwel au shopping Paris jmn me congei mengi just simple & clear BAKI NA MIMI...
Afanaaleik! Du! Na wewe pia "facilitator"!Sasa mbona Faiza unataka kuleta mengine akati Brother Etu Pascal kashakufa na amemwaga point kibao!! We mkubalie tu sisi wengine tumejitoa.[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Starring" hafi.Hivi bado mnatongoza tu?
Miaka nenda rudi dah aisee...
Mi nilishawahi tupia mavoko yangu hapo nikaambulia patupu japokuwa alikubali swaga zangu sema alijibaraguza kwakuwa yeye ndo mmiliki wa huu uzi.
Kwahiyo kitendo cha yeye kunikubali mimi baaasi Uzi ungefika mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhah hizo zinahitaji modifications kidoogo! Usiziache kama zilivyo zinahitaji kuongeza viungo kidogoJaribu 5 au 12 ujionee tofauti.
Sikujua kuwa huu Uzi mtamu hivi kama ule wa "kula tunda kimasihara""Starring" hafi.
Nasikia kuna Mtanzania alienda Nairobi, asubuhi akaingia "restaurant" apate chai. Akaanza kumuita "waiter",Huu uzi huu, mbavu zangu jamani!!!! Hehehehe, ila kwa maneno maneno na mipasho huwa siwawezi nyie Watanzania.
Usilolijua sawa na usiku wa giza btw let the thread bang na kwa style hii ata bill gate atakataliwa ataulizwa "aya una inchi ngp kunako trouser" [emoji3][emoji3]Wewe hata kuandika vizuri hujajuwa. Nipishe huko, kafanye homewok kwanza ya kujifunza kuandika.