Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

QUOTE="FaizaFoxy, post: 30036899, member: 43551"]Una hela??[/QUOTE]
Nina mimi tu.
 
Tumemtimua Dr. Kombo UDOM, umepata habari?. Tunakutana wapi leo tena nikupige mbupu....(anza pu...umalizie mbu...).
Nuru we Nuru, mbona unajishaua mbele za watu shoga?
 
Hahahahahaha.

Jamani, I hope mnaisoma mistari ya watongozaji humu.
 

Vina vimenikosha, sina hata pakushika
Nijuze ewe mkosha, hazina zako si taka
Ni vyema kujisafisha, kuzifanyia sadaka
Wacha kubahatisha, cha muhimu sadaka
 
Binafsi kama nitakua nimekuelewa vizuri ni hivi, FF hujatongozwa muda mrefu na una hamu na hi kitu na in fact ( kwa mtazamo wangu ) yaelekea pia hujasuguliwa muda mrefu na una hamu hiyo so kwa kua wewe ni mwanamke na huwezi kumfata mwanaume then umeamua kutumia njia hi kufikisha UJUMBE, sema tu vijana na wenyewe wa sasa hivi wazembe wazembe tu, hawajui ku decode hivi code za kina mama/wanawake
 
Una hela wewe?
 
Una hela wewe?
Mmh hamna mama, yule jamaa mliyekua mnaongea nae kanitisha, HELA nimezirudisha POCHINI! We ni noumer, mabinti wajifunze tu kwako baaaasi, that is what I can say. Sikuwahi kudhani kama bimkubwa ni mtata hivyo, hongera sana. Nimekupenda ki vingine kabisa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…