Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Tujage tukichime nkima wane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna hela usinitongoze. Tafadhali.
Bibi kizee upo serious au unataka tensions tu?[emoji13][emoji13][emoji13]

Maana hii sio mikato yako kabisa.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Faizafoxy ni takribani miaka mi NNE sasa nakuona humu, Nyuzi yangu ya kwanza ulikuwa mtu wa 3 kucoment... Tangu wakati huo ulilipua Cheche za upendo wangu juu yako nikaapa nitasoma kila nyuzi yako lakini zaidi nizame ktk penzi lako.... Ningekupata vipi? Nashkuru leo hii nafasi adhwiimu imeniangukia tafadhari naomba niwekeze penzi langu kwako Cc Faizafoxy
 
Mambo yamekuwa Mambo na Mambo Yamezua Jambo..

Wazee na vijana Wa JF kazi ipo Mezani,

Usipo sema leo jiulize utasema lini...??

Mimi nimetulia na Jimama huku,Jimama limenishika sihemi na pumua nusu-nusu mithili ya mgonjwa wa Pumu.

Utundu Wake limeuzidisha Mikao mipya kila siku,Linanipa masaji linanipa utundu Moyoni nabaki najisemea-

"Ninavyeti sina kazi,Jimama endelea kunipoza,Nipe tamu nipe ngoma kisha Nife"


Mambo yamekuwa Mambo,
Mambo Yemezua Jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…