Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Kumbe shindano liliisha ukaibuka mshindi bi Faiza...
Hongera mwaya...
Ila watu wa JF wanafiki sana..kutwa kumchamba mama wa watu...halafu kura mkampa zote... 🤣 🤣 🤣
Unafikiri haliwaingii darsa ninalowapa?

Wengi nafumuwa fumuwa ujinga wao.
 
Nimeangalia Robati aliamua kutudhalilisha walai...yani mm wa kupata kura 5?? Au kwa sababu ni sport ledi...au vile nachambana sana...any way nimecheka tuu kwakweli..
🤣😁😁😁😁🤣🤣😂😂 Robati alizingua
 
Nataka niwafundishe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
Weka screenshots tujilidhishe. Na picha yako halisi. Wanaosema umezeeka achana nao,kwani handaki la urusi si bado lipo tuu
 
1805DD0C-BDEE-4C30-B223-224B25FC1A61.jpeg


Mods na kiherehere kwenye kichwa cha habari, kwa umiss gani alionae huyu kikongwe ? Sema kinachombeba tu ni hela za kandarasi alizonazo kwa miradi ya serikali na GGM na kuhonga haongi.
 
Back
Top Bottom