Miss Chit Chat haiko Fair

Miss Chit Chat haiko Fair

Haya bhana mi nililala nkawaaacha sijui km mlilala au mlikesha

Afu naanza kuhisi watu wa arusha mnapenda sana kufungua kesi za kupinga mambo eeeh, .. msini quote wana Arusha wing hii ni kwa ajili ya Erickb52 pekee
 
Last edited by a moderator:
watu8 kura wanapiga wapi???sijaona hilo bandiko
 
Last edited by a moderator:
Tatizo warembo wa Arusha wote wana vitambi utadhani wacheza miereka bana....................... mfano sweetlady yaani alivyo Bonge kama Umaga afu mnataka awe Miss Chitchat

Nlitaka kunena hayo. Umeniwahi
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.

Copy kwa Arusha Wing
Lily Flower Filipo marejesho sweetlady PakaJimmy Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani Preta Mamzalendo Mungi Mzee wa Rula Tonykp IGWE Loner Mr Rocky Kabakabana

mabwaku..
 
Last edited by a moderator:
sio wenge by the tym zinduna ananihoji nilikuwa rwanda, nikaenda runzewe, chato, mwanza, tabora,then mwanza then arusha, dar...and now niko chugga...

mbona hyo tour kama yangu? umeniiga?
 
nashangaa hata mimi kweli haiko fair kabisa kwani wadada humu jf chitchat si wako wengi sana kwanini anafanya upendeleo kwa watu wachache tu imenikera hata mm vilevile yeye angefanya utaratibu wake kuanzia january - december ni wangapi akina dada ambao wako humu ndani na kisha angefanya marekebisho na uchaguzi kisha angetoa list kuwa kati ya hawa wamepatikana hawa yeye haoni wenzie wa BONGO STAR SEARCH wanavyofanya wanatembelea baadhi ya mikoa wanatafuta huko baadhi kisha na kuleta jamvini na kuanza kukokotoa mmoja mmoja kisha anapatikana mshindi kweli kaka Erickb52 inaboa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mpwapwa napo mbona hamtufikirii? Kuna mamiss wengi huku wa ukweli!
 
nashangaa hata mimi kweli haiko fair kabisa kwani wadada humu jf chitchat si wako wengi sana kwanini anafanya upendeleo kwa watu wachache tu imenikera hata mm vilevile yeye angefanya utaratibu wake kuanzia january - december ni wangapi akina dada ambao wako humu ndani na kisha angefanya marekebisho na uchaguzi kisha angetoa list kuwa kati ya hawa wamepatikana hawa yeye haoni wenzie wa BONGO STAR SEARCH wanavyofanya wanatembelea baadhi ya mikoa wanatafuta huko baadhi kisha na kuleta jamvini na kuanza kukokotoa mmoja mmoja kisha anapatikana mshindi kweli kaka Erickb52 inaboa kabisa

mmh! Umekasirika kweli au unatania?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom