gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Hahahaaaaa gambachovu hivi huwa unapotelea wapi kijana?
Hahahaaaaa gambachovu hivi huwa unapotelea wapi kijana?
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.
Copy kwa Arusha Wing
Lily Flower Filipo marejesho sweetlady PakaJimmy Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani Preta Mamzalendo Mungi Mzee wa Rula Tonykp IGWE Loner Mr Rocky Kabakabana
Mpwapwa napo mbona hamtufikirii? Kuna mamiss wengi huku wa ukweli!
Yaani lile mwili jumba sijui limepotelea wapi...ila hapa ndio home atarudi tu!