Lakini si huwa wanashiriki?
Suala la kushinda jingine mi nataka washiriki tu figganigga
Kwanini wasimweke hata mmoja ashindwe mwenyewe????
Asprin hizo nomination labda zilikuwa za Dar si hatujaziona
Hehehheeeee naona unaanza kumshika simba mkia...oooh angalia figganiggahawana mvuto. hahahaaaaa....!!!. mkuu hii haikupangwa kimkoa but wamepanga kutokana na washindi walio vaa taji la miss chit chat. kama kungekuwepo wa arusha mwenye taji busi angekuwemo. kama vipi na mimi nilalamike kwanini Kipipi hayumo coz huyu ndo miss wa moyo wangu. mia
Lakini si huwa wanashiriki?
Suala la kushinda jingine mi nataka washiriki tu figganigga
Kwanini wasimweke hata mmoja ashindwe mwenyewe????
Hehehheeeee naona unaanza kumshika simba mkia...oooh angalia figganigga
Mia
hahahahah wananikana aseeee
hahahahah wananikana aseeee
Si hatukutambui meeeeen
Ciello my dear,Jameni mbona miye nipo chugga??? Huku ndo kwangu kwingine nilikuwa tour tu....
Si hatukutambui meeeeen
Am glad umefika dear, tena nakumbuka kipindi hicho tulikua tunabaki hapa CC hadi manane ya usiku tunachat, mimi wewe na Madame B...kama unakumbuka ile topic yetu ya mkeka hahahah "ukitaka unaukalia ukitqka unaulalia"
Jameni mbona miye nipo chugga??? Huku ndo kwangu kwingine nilikuwa tour tu....