Miss Chit Chat haiko Fair

Miss Chit Chat haiko Fair

Sema tu kwamba mnajuana kwa upande wa kambi yako, wale mlozoeana (actually ni wengi wenu),
Nijuavyo mie Ciello ni product ya huko kwenu labda kama nilimnote vibaya au awe amemove.

Hapa tunaangalia current address au location
Mtu anaishi wapi na si kazaliwa wapi
Copy kwa watu8
 
Last edited by a moderator:
nyie arusha hamna miss. nani wewe unaye muona ni miss hapo arusha? mabonge!. sisi twataka miss. siku tukihitaji miss bantu tutakuja. hata rundenga wa miss tanzania anajua, ushasikia miss tanzania kutoka arusha?. Poleni sana but sio makosa yetu kama vipi Arabela. mia
 
Last edited by a moderator:
Kipipi hata kwenye ushiriki wa awali hawajawahi kuteuliwa tutawapigiaje kura?

Huwa wanateuliwa na nani??
From my observation ni members ndo huwa tunapendekeza majina then mchakato wa kura ndo unafata kwa yale majina yalopendekezwa mara nyingi zaidi.
 
Washiriki wote ni Dar ispokuwa Charminglady Mwanza na Arabera Tanga na Beibe nasty Mwanza

Sasa nawee chaliangu, wakati wa kuwapata washindani mchakato si ulikuwa wazi kwa yeyote kumnominate mrembo anayeona anadeserve. Sasa kama machaliiangu hamkutaka kuwanominate arachuga lediz unamlaumu Lundenga huoni kuwa hii ni zambi?

Acha zako chalii angu.
 
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.

Copy kwa Arusha Wing
Lily Flower Filipo marejesho sweetlady PakaJimmy Arushaone LiverpoolFC Blaki Womani Preta Mamzalendo Mungi Mzee wa Rula Tonykp IGWE Loner Mr Rocky Kabakabana

Tatizo warembo wa Arusha wote wana vitambi utadhani wacheza miereka bana....................... mfano sweetlady yaani alivyo Bonge kama Umaga afu mnataka awe Miss Chitchat
 
Last edited by a moderator:
maandamano haya hayana kibali.(natania tu)licha ya hoja yako kutokuwa na mashiko Erickb52 tumekua wote hatua kwa hatua mpaka leo tunafika hatua hii.katika hatua hizo mahala pengine member walipendekeza maon yao,je ni kwa nini hukutoa maoni yako il kuleta ufanisi?.utakumbuka washirik hao walipatikana kwa kupendekezwa na wana cc si mim,je kwanin A-Town hamkupendekeza majina.
 
Last edited by a moderator:
Hapa tunaangalia current address au location
Mtu anaishi wapi na si kazaliwa wapi
Copy kwa watu8

If that is the case then Arusha mshawahi kuwa na miss ambaye ni Ciello, she was residing in Arusha when she claimed her CC title hiyo Novemba....otherwise labda Arusha hiyo iwe imehama.
 
Last edited by a moderator:
nyie arusha hamna miss. nani wewe unaye muona ni miss hapo arusha? mabonge!. sisi twataka miss. siku tukihitaji miss bantu tutakuja. hata rundenga wa miss tanzania anajua, ushasikia miss tanzania kutoka arusha?. Poleni sana but sio makosa yetu kama vipi Arabela. mia
Lakini si huwa wanashiriki?
Suala la kushinda jingine mi nataka washiriki tu figganigga
Kwanini wasimweke hata mmoja ashindwe mwenyewe????
 
Last edited by a moderator:
Tatizo warembo wa Arusha wote wana vitambi utadhani wacheza miereka bana....................... mfano sweetlady yaani alivyo Bonge kama Umaga afu mnataka awe Miss Chitchat

Hizi sasa ni za uso dhaa! kuna mtu kahujumu paswadi yako si bure.

Sasa nawee chaliangu, wakati wa kuwapata washindani mchakato si ulikuwa wazi kwa yeyote kumnominate mrembo anayeona anadeserve. Sasa kama machaliiangu hamkutaka kuwanominate arachuga lediz unamlaumu Lundenga huoni kuwa hii ni zambi?

Acha zako chalii angu.

Asprin hizo nomination labda zilikuwa za Dar si hatujaziona
 
Jameni mbona miye nipo chugga??? Huku ndo kwangu kwingine nilikuwa tour tu....
sijasema kazaliwa wapi,
nakumbuka aliwahi sema kuwa anaishi arusha mpaka the time anaukwaa umiss.
 
watu8 am still residing in arusha..karibu tusherehekee ushindi wa lema kukichwa....
If that is the case then Arusha mshawahi kuwa na miss ambaye ni Ciello, she was residing in Arusha when she claimed her CC title hiyo Novemba....otherwise labda Arusha hiyo iwe imehama.
 
Last edited by a moderator:
If that is the case then Arusha mshawahi kuwa na miss ambaye ni Ciello, she was residing in Arusha when she claimed her CC title hiyo Novemba....otherwise labda Arusha hiyo iwe imehama.

Alisema tu ila kumbuka kwenye Zinduna talk show alisema hayuko Arusha ingawa alikuwa Arusha
 
Last edited by a moderator:
Kuna thread ya mapendekezo iliyorushwa?

Ukifuatilia hasa kuanzia mashindano yalipoanza,
Mr. Ruhazwe huwa anaanzisha thread kabisa kuwataka watu wapendekeze majina.

Nadhani washiriki wenyewe pia wanaweza kutupatia data kuwa walipatikanaje.
 
Back
Top Bottom