Miss Chit Chat haiko Fair

Miss Chit Chat haiko Fair

Kipipi utawaweza watu wa chugga ww!!! wazoee tu....nilipendekezwa then nikapigiwa kura...kwani wandemand nn??? siwaelewi....
Ciello my dear,
Niliogopa kukusemea sana.

Nakumbuka hata ulivyotua kule kwetu kanda ya ziwa, ila nilihofia kaconfidentiallity principle!
Nashukuru umeverify mwenyewe!

Haya waambie na hili, uliteuliwa au uilipendekezwa then ukapigiwa kura?
 
Last edited by a moderator:
Umeona sasa chalii Erickb52 anaumbuka? Tatizo huyu chalii anafikiri kama mtu hayuko kwenye ile chama yao ya ndyof baridi basi mtu haezi kuwa mwana Apollo.
Halafu nawewe unajunguka tu huoni unazidi kuharibu?
Hebu nenda kwa Madame B anakuita
 
Last edited by a moderator:
bahati nzuri miye nimeokoka so hizo ndyofu zao situmiii...wanisamehe tu kwa hilo...
Umeona sasa chalii Erickb52 anaumbuka? Tatizo huyu chalii anafikiri kama mtu hayuko kwenye ile chama yao ya ndyof baridi basi mtu haezi kuwa mwana Apollo.
 
Kipipi utawaweza watu wa chugga ww!!! wazoee tu....nilipendekezwa then nikapigiwa kura...kwani wandemand nn??? siwaelewi....
Soma thread uone demand yangu
 
Last edited by a moderator:
Kipipi utawaweza watu wa chugga ww!!! wazoee tu....nilipendekezwa then nikapigiwa kura...kwani wandemand nn??? siwaelewi....

Wanalalamika mashindano sio fair eti hamna member wa arusha anayechaguliwa,
According to Erickb52 hajawahi kutokea kimwana wa Arachuga akawepo hata kwenye uteuzi wa awali (sasa sijui nani huwa anateua mamiss!)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ciello my dear,
Niliogopa kukusemea sana.

Nakumbuka hata ulivyotua kule kwetu kanda ya ziwa, ila nilihofia kaconfidentiallity principle!
Nashukuru umeverify mwenyewe!

Haya waambie na hili, uliteuliwa au uilipendekezwa then ukapigiwa kura?

hivi wewe Kipipi hiyo tabia umeanza lini? inawezekana vipi nikupe hi! uuchune na kujifanya huoni post yangu? kama hutaki nikusalimie nambie niwasalimie wengine isije kuwa salamu yangu inakuharibia. mia
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi nadhani huyu Ciello ana sifa ya kujumuika nasi na kina Paloma na amu yale maeneo yetu. Wana Apollo hawajui kuvumbua dhahabu bana.
Heheeee babu angalia aisee ntabadili nanii zako ziwe kubwa km Tikiti maji ooh
Booked
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe Kipipi hiyo tabia umeanza lini? inawezekana vipi nikupe hi! uuchune na kujifanya huoni post yangu? kama hutaki nikusalimie nambie niwasalimie wengine isije kuwa salamu yangu inakuharibia. mia
Heheheee mia
 
Last edited by a moderator:
Mademu wa Chuga vitambi vya ndovu wataweza wapi mikikimikiki ya U-miss, kama Preta kitambi sweetlady sawa ana kijungu lakini nae kitimoto na maji ya dhahabu yameharibu figa.

Pole Erick.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi nadhani huyu Ciello ana sifa ya kujumuika nasi na kina Paloma na amu yale maeneo yetu. Wana Apollo hawajui kuvumbua dhahabu bana.

itabidi tumnunue kwa mkopo . Ciello sweetheart nakuomba ujoin wing yetu ya Dar maana huko wanakutenga...si unajua nabii hakubaliki kwao!
 
Last edited by a moderator:
Mademu wa Chuga vitambi vya ndovu wataweza wapi mikikimikiki ya U-miss, kama Preta kitambi sweetlady sawa ana kijungu lakini nae kitimoto na maji ya dhahabu yameharibu figa.

Pole Erick.
Heheheee platozoom huu ugomvi mnaouanzisha na hawa mamiss Arusha sijui mtauzimshe...hivi ushawahi kuona mdada kapandisha Mori???
 
Last edited by a moderator:
Nyie tifuaneni weeeeeeeeeeee,mkishachoka kutifuana hakikisheni mnampigia kura Arabela mutoto ya Tanga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom