Miss Chit Chat 2012

Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?


Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?

Nimeshangazwa.

Kweli tometofautiana duniani.

Dada Remmy nimemtaja hebu angalia.... Usicomment bila kusoma post kuanzia mwanzo!!!
 
Last edited by a moderator:

Watu wengine huwa wana asili ya Gubu.... Ni kuwaignore tu... Utadhani wao wako perfect kwa kila kitu.....
 
Umeona eeeeh
Kabugi meeeeeen!
 
heheh eti yanakutia kinyaa!!

Ni kweli sipendezwi kuona member wanalumbana kwaajili yangu yangu,ndio maana nasema nahisi kinyaa,kwani vip Kipipi kunatatizo mi kusema hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Dada Remmy nimemtaja hebu angalia.... Usicomment bila kusoma post kuanzia mwanzo!!!

Nilisoma toka mwanzo, ila nikagundua kuwa ni edited,

Anyway my hubby Erickb52 kanishauri niachane na haya. Plz naomba niishie hapa mamito.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…