Miss Chit Chat 2012

Nimekusoma charminglady ingawa presidaa wa CHIT CHAT hukunitaja!! (Sijapenda)

Kwa niaba ya familia yangu ya wake 9 (natafuta wa kumi though ) nakupongeza kwa dhati kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Ujinga upi Nivea?
Nini usicho elewa unapo ambiwa mtu yupo kwenye matatizo makubwa na "amefika mwisho kabisa"?
Mnataka hadi angekuja hapa na kusema tatizo langu ni A,B,C?
Hujui kuwa kuna matatizo mengine ni private,na hayana jinsi ya kujielezea kwa wengine?
Kwanini mnakosa utu kwa kiwango hicho?
 
Last edited by a moderator:
ill be the last one to judge the matter,sorry usinitafute ugomvi kanolee mdomo wako pengine:iamwithstupid:
 
Nimekusoma charminglady ingawa presidaa wa CHIT CHAT hukunitaja!! (Sijapenda)

Kwa niaba ya familia yangu ya wake 9 (natafuta wa kumi though ) nakupongeza kwa dhati kabisa.

Jamani pole sana King Mswati... Sasa nikianza kuwataja wote mbona nitaishia kuwataja tu... By the way asante sana Arushaone.... Afu mbona huniPM..... :sad: :sad:
 
Last edited by a moderator:
Asante mungu wa mbinguni kwa kutupa afya njema , asante uongozi mzima wa JAMIIFORUMS hasa mod's wa jukwaa hili la CHIT-CHAT , kwa kuwezesha shindano hili kufanikiwa .

PIA nitoe shukrani zangu kwako charminglady kwa kutambua mchango wangu, Ruhazwe JR kwa kuandaa shindano hili toka mwanzo mpaka hitimisho ambapo sasa warembo wetu tumewaona wanavyo tabasamu kwa furaha ya mataji waliyo tunukiwa.


:first: @Charminglady

:second: Arabela

:third: Madame B

@Cacico

@Remmy

@Ciello
Kama sijakosea Erickb52 aliahidi kuandaa tafrija ya kuwapongeza washindi ambapo watapata wasaa wa kuongea mawili matatu kuona ni wapi walikosea ili mashindano yajayo wajue namna gani wafanye ili kupata kura nyingi za kishindo!!



[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

amani sana:tea:
 
Mkiambiwa ukweli lazima povu liwatoke... "Na hiyo kweli itawaweka huru!!"

Kaka ulipokuwa na jina lile jingine wanalokuita hapo nyumbani ulikuwa mpole na mwenye busara sana.
Sasa hivi naona veve iko badilika sana...naona veve naleta ile maneno ya kule kwa politiki.
 
Kaka ulipokuwa na jina lile jingine wanalokuita hapo nyumbani ulikuwa mpole na mwenye busara sana.
Sasa hivi naona veve iko badilika sana...naona veve naleta ile maneno ya kule kwa politiki.

Hapana mkuu watu8!!!
Penye ukweli,ni lazima tuuseme ili tupone!!
Si vizuri jambo likakukera mtu na kubaki nalo rohoni!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu watu8!!!
Penye ukweli,ni lazima tuuseme ili tupone!!
Si vizuri jambo likakukera mtu na kubaki nalo rohoni!!

Haya brodaaa...nadhani walengwa watakua wamekusikia na kukuelewa, hata Ruhazwe JR nimemuona hapa ndani na kaonesha ukomavu, sasa ni vyema suala hili tuliache tu lipite kwa heshima ya rafiki yetu Lundenga.
Hata wakitokea watu wameku-quote ni vyema ukapiga kimya, hakika haitakupunguzia chochote....
 
Last edited by a moderator:

Una busara kama za mfalme Sulemani... Pamoja sana kaka watu8.
 
Last edited by a moderator:
watu8 wewe unafurahia haya?binafsi yananitia kinyaa....mi nadhani ni wakati sahih kwa yule mwenye tatizo na mimi anijie direct
 
Last edited by a moderator:



Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?


Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?

Nimeshangazwa.

Kweli tometofautiana duniani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…