FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Toa hoja, sio unaongea kama taahiraHEP is outdated in the modern world hata huu wa kwetu hauna tija ni suala la muda tuuu !! Hata uwanja wa ndege chato mliudifia hiv hivi hata zole ndege mlipiga mayowe na kuandamana mpaka eapot leo vipi!??? Miradi ya jiwe ni faken yote
Linganisha na gharama piaHEP is outdated in the modern world hata huu wa kwetu hauna tija ni suala la muda tuuu !! Hata uwanja wa ndege chato mliudifia hiv hivi hata zole ndege mlipiga mayowe na kuandamana mpaka eapot leo vipi!??? Miradi ya jiwe ni faken yote
Kwani kurushandwa vita ndio Sababu ya kutotawaliwa na Mkoloni?Historia inaonesha Ethiopia hajawahi kushindwa vita, na ndio Taifa pekee ambalo halijawahi kutawaliwa na mkoloni.
Kwakweli, yaani watu wamejibana kimkanda mkanda kwa miaka 10 tena kwa pesa za ndani kujenga bwawa, halafu uje tu kupiga bomu kirahisi rahisi tu? Mbona hilo bwawa litajazwa kwa damu za waMisri badala ya majiMISRI ni wajinga sana, umpige Ethiopia kabisa, israel atakuwa amelala usingizi? wanataka kusababisha mzozo usio na umuhimu. mtu maji yanatoka kwako wewe uliyeko c hini unataka kuleta kibesi, wakiweka sumu si utakunywa sumu? kwa gharama waliyotumia ethiopia kujenga anafikiri akipiga mabom kulibomoa kidonda hicho ethiopia atakubali kukaa kimya? hata kama wanayo madege na maguvu lakini hata tembo kuna wakati huwa anakamatika na chura (anapoingia kwenye pua lake lile) na tembo hujingongesha mwenyewe hadi kufa. ethiopia ni wadogo ila sio wa kubeza na lazima walipokuwa wanajenga walijandaa kwa jambo hili. sio wajinga.
Lishajengwa, sasa wanalijazaWamisri wabinafsi sana hata TZ ilipotaka kuchukua Maji Ziwa Victoria walijifanya Hawataki. Uzuri haya maji sio ya nchi moja atavutana na ethiopia lakini ataachia mwisho wa siku na Bwawa litajengwa tuu...!