Misiba itayotokoea miaka ya 2040 - 50 itakuwa ni sherehe.

Misiba itayotokoea miaka ya 2040 - 50 itakuwa ni sherehe.

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya "kufa ndio usemwe vizuri haitakuwepo" Gen Z watafurahi wakisema "bora amekufa alifanya kibaya hiki na kile" Misiba ya miaka hii tunapata huzuni kwa maana wazee wetu walijaribu haya kufanya wema kidogo, ila hawa wa sasa duuuuh 💔
 
Unamaanisha kizazi Cha gen z hakina zuri hata la kukumbukwa siku ya msiba?
 
Uzuri ni kwamba inawezekana hata ww mtoa mada ukafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom