Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mbona tayari ndo wameweka sasa ivi,naona kunaongezeko kidogo
 
kwanza tuambie kabla hatujakujibu mpaka sasa umeshacheki salio lako mara ngapi hadi unaanza kulalama kuhusu mshahara??
Nimecheki mara ya mwisho leo saa mbili na madakika asubuhi, bado hola.
 
Nimecheki mara ya mwisho leo saa mbili na madakika asubuhi, bado hola.
Cheki saa 11 ngoma itakuwa imeingia leo,ila uwe muangalifu next time,bana huo mshahara wako ili utumike ndani ya siku 30 sio bado siku 3 mnaanza kuoverload sytems kwa kucheki balance.
 
Hujui kuwa ukiondoka kazini kwenda kufanya biashara unatumbuliwa?
Nan anakutumbua unafanya kaz isiyokuruhu hata kufungua kibanda cha mpesa na kama upo kwenye ndoa panga mipango yako mwachie mwezio afanye implementation ww fanya monitoring and evaluation ukiendelea kusubur mshahara utakufa maskin utaishia kulalamika tu milele na maisha bora utayasikia kwenye kampen za ccm
 
Magufuli anabore sana, ss tunapataga every 23/24. Ikifika tarehe 5/10 ushafulia kabisa

Arudishe tarehe zilezile tu, angalau tuwe tunaishiwa 20th of next month
 
Nchi ya Tanzania hakunaga tarehe ya mshahara. Mara 27,29,30, 31 yani vurugu tupu achia mbali kua salary yenyewe ni peanut.

Alafu hapo bado mtu anaponda ooh kwenda kutafuta maisha nje ya Tz..
 
Magufuli anabore sana, ss tunapataga every 23/24. Ikifika tarehe 5/10 ushafulia kabisa

Arudishe tarehe zilezile tu, angalau tuwe tunaishiwa 20th of next month

Hela unapangiwa kutumia kwani? Ndio mana majuu malipo ni fortnight na sio 30days, we uliponda sana post ya ushauri wa Le Mutuz
 
Back
Top Bottom