Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Pengine tatizo ni uhakiki wa wafanyakazi ndo sababu ya kuchewesha mishahara ya wafanyakazi! Ila kwa kuwa bado mwezi haujaisha wafanyakazi hawanabudi kusubiri, kwani subira historia yetu na mtu anayeishi sharti asubiri. Hata Mungu wetu katika Rehem zake kuu anatusubiri!
Pesa imechotwa hazina inatumika kukimbizia mwenge.
 
Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Na kama hujenda itakuwaje?
 
Kalibuni kwetu tunapokea tarehe 35 kila mwezi na tumeshazoe
 
wanaongeza mishahara tulieni watumishi tubadilishiwe digits

Waliomba %9 single digit" kwenye kodi wakapewa, sasa waombe waongezewe japo single digit kwenye mshara' mtumbua majipu atawapa tu!!
 
Mpaka sasa mke wangu ananiambia ni siku 33 tangu mshahara wa
Mwisho, ndo namwambia nisingekuwa mlinzi pale strabarg ungekula leo kweli na watoto wetu, eti naitikia kwa unyinge kweli, magufur mbona km kikwete namwambia tuliza boli anamalizia kulipa sukar ili mshahara usinunulie tu sukar atakosa ya kuwalipa Jun e
 
Pengine tatizo ni uhakiki wa wafanyakazi ndo sababu ya kuchewesha mishahara ya wafanyakazi! Ila kwa kuwa bado mwezi haujaisha wafanyakazi hawanabudi kusubiri, kwani subira historia yetu na mtu anayeishi sharti asubiri. Hata Mungu wetu katika Rehem zake kuu anatusubiri!
Mwisho wa mwezi ulishafika bhana,kwani mwezi uliopita walitoa mshahara tar.23,na imekuwa hivyo kwa muda mrefu,kwa hiyo siku 30 nimeshapitiliza,23 to 23!!!sasa imekuwa 30+
 
Back
Top Bottom