TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 385
mara kumi ni chache,ni mara 2kila baada saa mojaHatari sana, Mtu anaangalia Salio kutwa mara kumi!!
mara kumi ni chache,ni mara 2kila baada saa mojaHatari sana, Mtu anaangalia Salio kutwa mara kumi!!
labda utoe maelekezo,plan b hapo ni kuwa mwizi tu.Huna plan b
Aisee!!!mara kumi ni chache,ni mara 2kila baada saa moja
Ukita kuwa mwiz ss wenzio tupo serkalin tuna plan b kibao na hatujawa wez usipende mteremko kijanalabda utoe maelekezo,plan b hapo ni kuwa mwizi tu.
najua saa hizi mshahara ushaishaKama mwezi uliopita walilipa tarehe 23,Leo tarehe 26 ,si zishazidi siku tatu Mkuu!
Nimecheka kwa sautinajua saa hizi mshahara ushaisha
Mkuu Vipi kuhusu mwezi huu?Wanajamvi naomba kuuliza wenye uelewa wa hili jambo, ni kwa nini mwezi huu tumecheleweshewa Mishahara yetu hivi?
Mshahara ushaingia nmepata notification HV punde toka NMB
Wa december ?? Uongo uoAbsolutely.
Muulize magonjwa mtambuka, jingalao, na the likes am sure they know what is going on. Pesa tunazo hatukopi wala kuomba msaada ukiona hazijatoka hao wasipokuwa na majibu, basi Mpango kazilalia.Wanajamvi naomba kuuliza wenye uelewa wa hili jambo, ni kwa nini mwezi huu tumecheleweshewa Mishahara yetu hivi?
Nenda vicoba mkuu siku zinasonga watoto watadai nguo za sikukuu na sadaka na pesa ya kokolilokoooooo.Wanajamvi naomba kuuliza wenye uelewa wa hili jambo, ni kwa nini mwezi huu tumecheleweshewa Mishahara yetu hivi?