Mkuu,mbona ck chache saana hzo.Bora kuwa mfungwa ulaya kuliko kuwa mfanyakazi wa serikali tanzania
Liwale wewe tumeshakutambua na unarudisha nyuma Mipango,Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Yani kuajiriwa ni full utumwa....umaskini wa mawazo/fikraukifanya kazi serikalini akili kama zinaganda vile...mshahara ukikosekana tu baaasi hakuna kingine chochote anachoweza kufanya
akistaafu ndio presha full
Kama umenitambua,there for?,Liwale wewe tumeshakutambua na unarudisha nyuma Mipango,
Bora kuwa mfungwa ulaya kuliko kuwa mfanyakazi wa serikali tanzania
mara zote namba huanza 0 na kuendelea ukitoa namba hasi. Usiwaze sana. Unaanza ndogo unaenda kubwa.Nashukuru kwa ushauri mkuu ila hii ni subsistance agriculture au vipi kuhusu large scale farming
Ulie kwa nn mkuuJaman nilie au?
Uwieeeeeer yeuwiiiuiii auwiiiiiiii keleeuuuuuwwwwiiiieUlie kwa nn mkuu
eti mshahara umechelewa siku sijui 1 mtu anakuja jukwaani kuanzisha uzi? huyu akistaafu itakuaje sasa? au teknolojia inavyo kua kwa kasi wakapunguzwa kazi na kuwa replaced na mashine? hawana ubunifu wowote wamekaa ofisini kama mizoga tu ndio maana taasisi nyingi za serikali hazina kabisa ufanisiYani kuajiriwa ni full utumwa....umaskini wa mawazo/fikra