Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Duh..kuajiriwa serikalini ni miyayusho sana..kwani usiponunua traksuti ama kuchangia watakufanyaje.
 
Wanajamvi naomba kuuliza wenye uelewa wa hili jambo, ni kwa nini mwezi huu tumecheleweshewa Mishahara yetu hivi?
kwanza tuambie kabla hatujakujibu mpaka sasa umeshacheki salio lako mara ngapi hadi unaanza kulalama kuhusu mshahara??
 
Vipi mkuu mwajiriwa, na wewe tukuulize "umedeliver nini mwezi huu"!?
 
Vipi mkuu mwajiriwa, na wewe tukuulize "umedeliver nini mwezi huu"!?
Kwani mkataba wa ajira unasemaje? Malipo ni mpaka niangaliwe nime-deliver nini au ni mwisho wa mwezi for as long as nakwenda kazini bila kukosa na ikitokea nikakosa niwe na kibali? Mimi siyo kibarua tafadhali. Mshahara ni haki yangu. Acha upotoshaji.
 
Back
Top Bottom