miaka 54 baada ya uhuru, upuuzi huu unatugharimu badoMimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani