Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 228
mimi na shemejio tumepanga hivi:
school fees za watoto na chochote kinachohusiana na watoto ni jukumu langu, kwa mfano mavazi na mtoto akiumwa, japo tuna medical insurance hivyo situmii pesa yangu.
mwenzangu yeye chakula na mahitaji mengine yote ndani ya nyumba ni yake, luku, maji na mahanjumati yote ni juu yake. hata tukiwa na shughuli nyumbani, yeye ndio anagharamia. tulipanga, tukachakua, na mimi niliona majukumu yangu hayataki pesa ya hapo kwa hapo, najipanga, school fees najua ni lini nalipa na mavazi ya watoto napanga ni lini nanunua japo sina ratiba maalum, hii ni kama kipato kikiruhusu.
niliona nikichukua majukumu yake, kuna siku naweza kuwalaza njaa au giza au tukatiwa maji.
tumejenga, lakini hapa hakukua na kupanga. yeye alijenga mwanzo mpaka mwisho. Finishing asilimia kubwa nilifanya mimi maana sie wamama tuna taste zetu na vitu tunavyotaka.
Hivyo mkaka na wewe angalia mpange vipi.