Mishahara ya Wake Zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya Wake Zetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkusa, Sep 25, 2012.

 1. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu,
  Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
  Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kazi nifanye mimi mshahara umdiskasi nyie akhu!mtuache na mishahara yetu!
   
 3. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ah, mie nazungumzia Gawiwo la Pato linakuweje ikiwa na Shem nae anafanya kazi
   
 4. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ukijua mshara wake wewe ukusaidie nini? kama sio unaa uo, kama akipenda atakuambia mwenyeweeee
   
 5. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Anataka kujua pato lenu wewe na mme wako mwisho wa mwezi linagawanywa vipi katika familia? SnoWhite wewe mshahara wako je unaishia kununua nguo na vipodozi! Mbona mapovu...
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  huyo mwanamke wewe umemuoa ili umtunze na kumpatia mahitaji yake yote hata kama anafanya kazi. Pesa yake including mshahara ni mali yake na huna mamlaka yoyote juu yake. Ukitaka uanze kujisikia inferior kwa mkeo anza kumtaka mkeo achangie matumizi/mahitaji ya kwenye nyumba yako. Halafu mwanaume kidume kweli haangaiki na pesa ya mke wake!!!!!
   
 7. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mmh, kumbe mko wengi msiotaka kuchangia pato la familia!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  kipato ni mazungumzo na makubaliano, Mke anaweza kukubali au kukataa, inategemea na mnavyokubaliana, kumbuka wewe ni kichwa cha familia, (hii kimjini mjini)

  (kiuhalisia ) inazegemea vila mtakavyopanga na jinsi mlivyojijenga toka mwanzo......

  (ushuhuda)
  1. Mnaweza kuamua mama atunze familia na mshahara wa baba ukatumika kwenye ujenzi (ila hutegemea nani ana kioato kikubwa)

  2. Au mkagawana majukumu kuchangia sawa kwenye shughuli za maendeleo

  3. Au kwa wanaumme ambao hawataki kutumia pesa za wake zao kutegemea na male ego zao, mshahara wa mke hajihusishi nao, atajua jinsi ya kuutumia ashimdwe mwenyewe..

  4. Kuna ambao mambo makubwa hufanya mume kama ujenzi, ada, misosi, nk na mambo madogo ambayo huwa ni mengi ndani ya nyumba na yanayokula fedha kidogo kidogo kwa wingi anacover mke kama nguo za watoto, mume hg, matatizo
  ya ndugu wa mke na mume, sukari, chumvi, sokoni, mboga, umeme, maji, hg, mlinzi, shambaboy, n.k

  ZINGATIO
  pangeni vile mpendavyo na mnavyoona inawafaa, kutegemeana na malengo yenu na kipato cha kila mmoja na majukumu ya pande zote mbili... Ila Kumbuka mpange muwezavyo bado jukumu la kumpendezesha mkeo ni lako, hela ya saluni, perfume nk loh......uanaume kazi...
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mimi kwangu ipo hivi.....pesa zake ni zetu wote.....zangu tunatumia mara moja moja.....
   
 10. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nahisi na mimi nitakuja kuwa kama wewe, now am single seacher
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Hapa leo ntakuwa mkali utadhani sio mama wa nyumbani. Nawasikiliza, afu ntawasikilizia!
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,801
  Likes Received: 6,582
  Trophy Points: 280
  wewe mie nshajua unachotaka sema...

  sasa mie nakwambieni nyote...mwanamke mwema ni yule ambaye wala hana shida na pato lake ...achilia ATM card lazima mwisho wa mwezi ibaki kwa mume.. mwanamke anabaki na kiasi cha mboga na saloon tu..
  Ikumbukwe kuwa mme ndio kichwa cha nyumba....

  tuacheni tujenge familia.
   
 13. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapa kuna watu watatokwa na mapovu tu coz hili sawala linahusu ATM!!!

  hapa kuna mtihani sana, wanaume roho huwa zinauma sana, ila wanavumilia.
   
 14. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,372
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Yaani mi nawaonea sana huruma walio kwenye ndoa,utakuta mamaa anafanya kazi ila mwanaume ndo anatoa mpaka michango ya kitchen party ambazo hata wahusika hawajui....halafu siku bange zako zikutume kuwa umechoka unataka kum-divorce huyo mwanamke ndo utajua kuwa hapa town kuna wadada wanasheria wanasubiri wavuta bange kama wewe ili na wenyewe waendeshe Spacio zao.
   
 15. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  mmhh nasikiliza
   
 16. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  It is a stresssfully experience, wanawake wanatofautiana try your card but as for my wife I have just decided to be a man and take care of the family, if she goes to salon with all her salary it is okay, tired. Hii midudu Ni mibinafsi.


  QUOTE=Mkusa;4696862]Wakuu,
  Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
  Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu[/QUOTE]
   
 17. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  uttoh2002 inaonekana roho inakuuma sana mpk ukawaita 'midudu'. Lakini mwenyewe si umesalimu amri! Chezea midudu weweee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Utasearch milele kwa mwendo huo. Dunia na style ya maisha imebadilika sana japo wadada wengi hawapendi kulikubali hilo
   
 19. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hahahaha pesa za mkeo wewe mwanaume za nini?hizo ni dalili za kukwepa uwajibikaji..mambo ya kutunza mke na familia ni la kwako aisee acheni kukwepa majukumu nyie wanaume wa dot com
   
 20. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Mishahara yenu! Basi mrudi kwenu mkale mishahara yenu!
   
Loading...