Mishahara ya Wake Zetu

Mishahara ya Wake Zetu

Vyote hivi nafanya, isipokuwa kujenga...

ndo maana huoni pesa yako inapoishia.....
Inabidi ubadilike sasa, punguza kutoa ofa...punguza kinywa... Toa michango ya muhimu tu sio kila kadi unachangia, kila mshkaji unamchangia....
Nyumba ndoga acha...ingawa unaona starehe nyumba ndoho ni extra cost na kuinyima familia yako mambo ya msingi na kumbuka nyumba ndogo starehe inalipiwa...hapendwi mtu ila pochi....

Shikamana na mkeo mpange mambo yenu ya maendeleo, jinyime sasa ili ufaidi baadae
 
Kwetu sirudi,na utaishia kusikia tu kama huwa ninapata mshahara!Kwani wewe si ndo uliyenitoa kwa wazazi wangu tena kwa kiapo cha kunituza na kuniangalia mpaka kifo kitutenganishe?Mimi nina kazi moja tu ya kukupenda na kukuheshimu.Na heshima itakuwa juu zaidi pale utakapotoa matumizi makubwa zaidi.!lol

Basi sawa, sasa napenda uniheshimu, unipende ukae nyumbani UA langu la nyumbani, sio kutangatanga na kutaniana na watu maofisini. Hapo sitakuwa na neno. Mpenzi wangu tulia nyumbani nikutunze kama nilivyoahidi!
 
Not fair ya namna gani wakati unatunza vyako.Hivi kwani mke ni wa jirani?au mnashare acha ushamba .Mshahara wa mkeo ni wake unless mkubaliane kuhusu kusaidiana tena pale ambapo wako hautoshi.Otherwise mawasiliano na mipango kwenye nyumba yenu muhimu
Sasa Mbona hueleweki, una maana hapo kwenye Red hapako Valid kama Pale tu Mshahara wako ni Mkubwa, ama kwa namna nyingine, na je, inakuweje kama na yeye ana Kipato kizuri, otherwise, we ndo Mshamba na unataka ku justify Kutomtendea haki Hubby wako.
Mbona mu wakatili ivo Jaman
 
Pesa ya mwanamke hua ni chungu sana, Wabinafsi sana hawa viumbe....
 
ila wanaume wa siku hizi...ajabu kweli

mwanaume wa ukweli anaona fahari kumuhudumia wife, sio kulalamikalalamika...si ndio maana yeye ni wife na wewe ni mume?..hivi mkeo akiomba kulipwa kumnyonyesha mwanao utaweza kumlipa? ni mara ngapi mke wako anakesha usiku kuhudumia watoto wakati wewe umechapa usingizi ( na asubuhi anatakiwa aende kazini km kawaida)...ukiambiwa ulipie hizo night utaweza?

wewe na wife wote mnafanya kazi, lakini jioni wife anawahi kuangalia wtt na kuandaa mazingira mazuri hm lkn ww mume unapitia baa kupoteza muda, ukifika hm kila k2 kipo kwenye order...lkn hata kumhudumia pia unashindwa(japo huwezi lipa fadhila ya wife anayokufanyia ww na watt)

pamoja na majukumu yoooooooooooote ya wife magumu, bado tena unambebesha mzigo wa financial obligation, huoni aibu?
nafikiri kwa mtindo huu sasa itabidi wanawake tubadilike, kama ni kugawana majukumu basi tuanze na malezi ya wtt,(hata martenity kwa zamu, mume abaki hm kulea mm aende kazini) jikoni, usafi n.k..majukumu ya nyumba sio hela tu..........TUGAWANE SAWA KILA K2...muone km hamjapiga goti wenyewe kuomba yaishe
Sasa hapo suala la kuninyonyshea wanangu linakujaje?????ina maana huyo ni mtoto wangu peke yangu????Mnatutisha wake zetu, hayo mengine yoooote ndo Gender Mpenzi, Haiwezekani Mimba kutunga tumboni mwa Baba na Baba Kunyonyesha
So those are the reason why hutaki ku share mshara, ina maana mshahara wako ndo malipo yangu kwa kuninyonyeshea mtoto.
Mbona mu wakatili ivo Jamani
 
Mimi ni Mwanamke na hapa Nakataa wazi bila kificho.
Wanawake tunapenda sana kudai usawa, kwa nini isiwe na upande wa majukumu ya kifamilia tunazingatia huo usawa?
Familia sio ya Mme, kama mna watoto, Baba anaitwa "Baba X" na "Mama X". Kwa nini swala la kuhudumia familia, au kufanya shughuli za maendelea kwa ajili yenu na familia kwa ujumla liwe la Baba peke yake?
Wote mnahusika kuchangia maendelea ya familia yenu.

I wish All Women would be thinking the way you Do.
Chukua tano
 
ndo maana huoni pesa yako inapoishia.....
Inabidi ubadilike sasa, punguza kutoa ofa...punguza kinywa... Toa michango ya muhimu tu sio kila kadi unachangia, kila mshkaji unamchangia....
Nyumba ndoga acha...ingawa unaona starehe nyumba ndoho ni extra cost na kuinyima familia yako mambo ya msingi na kumbuka nyumba ndogo starehe inalipiwa...hapendwi mtu ila pochi....

Shikamana na mkeo mpange mambo yenu ya maendeleo, jinyime sasa ili ufaidi baadae

Asante kwa ushauri... Ila hilo la kujinyima sasa ili nifaidi baadae.. dah! nilijinyama sana zamani ili nifaidi sasa..
 
hii sredi hii na ile ya MadameX mwisho wa siku tutatoana macho humu

kama walivosema wengine tusijadili kwa kuangalia jinsia, tuangalie uhalisia. Maisha yamebadilika, tamaduni zinabadilila. wanawake wengi wamesoma siku hizi, na wana mishahara mikubwa na vipato kuliko wanaume.

Kwa upande mwingine maisha ya kuishi mijini (sio kijijini ambapo kuna kulima, kuchunga nk) yanataka kwamba kila kitu ni pesa.....hakuna namna nyingie.

Unless mwanamke anataka kuibomoa nyumba yake mwenyewe kwa upumbavu wake, hawezi kung'ang'ania kwamba chake ni chake na cha mume ni cha wote!
 
Last edited by a moderator:
ila wanaume wa siku hizi...ajabu kweli

mwanaume wa ukweli anaona fahari kumuhudumia wife, sio kulalamikalalamika...si ndio maana yeye ni wife na wewe ni mume?..hivi mkeo akiomba kulipwa kumnyonyesha mwanao utaweza kumlipa? ni mara ngapi mke wako anakesha usiku kuhudumia watoto wakati wewe umechapa usingizi ( na asubuhi anatakiwa aende kazini km kawaida)...ukiambiwa ulipie hizo night utaweza?

wewe na wife wote mnafanya kazi, lakini jioni wife anawahi kuangalia wtt na kuandaa mazingira mazuri hm lkn ww mume unapitia baa kupoteza muda, ukifika hm kila k2 kipo kwenye order...lkn hata kumhudumia pia unashindwa(japo huwezi lipa fadhila ya wife anayokufanyia ww na watt)

pamoja na majukumu yoooooooooooote ya wife magumu, bado tena unambebesha mzigo wa financial obligation, huoni aibu?
nafikiri kwa mtindo huu sasa itabidi wanawake tubadilike, kama ni kugawana majukumu basi tuanze na malezi ya wtt,(hata martenity kwa zamu, mume abaki hm kulea mm aende kazini) jikoni, usafi n.k..majukumu ya nyumba sio hela tu..........TUGAWANE SAWA KILA K2...muone km hamjapiga goti wenyewe kuomba yaishe
Umenikumbusha kisa kimoja hivi mchungaji wetu alitusimulia
mwanaume alikuwa analalamika kwa Mungu,kila siku mke wangu hanisaidii kkuhudumia familia,kila kitu ni juu yangu,ye kazi yake ndogo tu eti kule watoto mi natakiwa kujenga,kusomesha watoto,kununulia nguo,kununua gari,na vitu kibao sasa nataka tubadili nafasi mimi niwe na majukukmu yake yote na yeye aafanye majukumu yangu!mke akasema sawa huku anatetemeka lakini kuwa sijui ataweza,na likawa kubaliano la kulitimiza kwa mwaka mzima!basi role zikabalidlika pale kwenye kila kitu including mchakato!mume akaona kha isiwe tabu akarudi tena kwa Mungu aha nimechoka nataka kurudi kwenye uhalisia wangu haya mambo ya kufua nepi,kunyosha nguo,kupiga deki,kupanga msosi gani uliwe na mambo yote mi siyataki tena nataka kurudi kuwa mwanaume,akambiwa itabidi usubiri kama miezi 9 hivi manake tayari ni mjamzito!
sasa jameni hebu mtupe tu hizo chapaaa siye tunawafanyia mambo mengi ati!LOL!ngoja waje hapa watakavonikimbiza BADILI TABIA,na madame x nizingeni huko kwa mbale manake namwona Kaizer anajiandaa kurusha ngumi Asprin nae ananivutia kasi Dark City nae anapiga pushap tatizo tu The Boss siku hizi sijui kaadimikia wapi ila angekuwepo hapa ningekomaje na hiyo story niliyotoa!aahahhhhahhhhahha
 
Last edited by a moderator:
hii sredi hii na ile ya MadameX mwisho wa siku tutatoana macho humukama walivosema wengine tusijadili kwa kuangalia jinsia, tuangalie uhalisia. Maisha yamebadilika, tamaduni zinabadilila. wanawake wengi wamesoma siku hizi, na wana mishahara mikubwa na vipato kuliko wanaume.Kwa upande mwingine maisha ya kuishi mijini (sio kijijini ambapo kuna kulima, kuchunga nk) yanataka kwamba kila kitu ni pesa.....hakuna namna nyingie.Unless mwanamke anataka kuibomoa nyumba yake mwenyewe kwa upumbavu wake, hawezi kung'ang'ania kwamba chake ni chake na cha mume ni cha wote!
Nimesoma hii tu mkuu Kaizer. Sitasoma post nyingine na siwezi kuongeza kitu. Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mke sio ndugu!, ni rafiki tuu

Kuna dada mmoja anafanya kazi TRA na mme wake ni dereva tuu wa benki.Kweli majukumu yote yafamilia mwanaume aachiwe peke yake??
 
Umenikumbusha kisa kimoja hivi mchungaji wetu alitusimulia
mwanaume alikuwa analalamika kwa Mungu,kila siku mke wangu hanisaidii kkuhudumia familia,kila kitu ni juu yangu,ye kazi yake ndogo tu eti kule watoto mi natakiwa kujenga,kusomesha watoto,kununulia nguo,kununua gari,na vitu kibao sasa nataka tubadili nafasi mimi niwe na majukukmu yake yote na yeye aafanye majukumu yangu!mke akasema sawa huku anatetemeka lakini kuwa sijui ataweza,na likawa kubaliano la kulitimiza kwa mwaka mzima!basi role zikabalidlika pale kwenye kila kitu including mchakato!mume akaona kha isiwe tabu akarudi tena kwa Mungu aha nimechoka nataka kurudi kwenye uhalisia wangu haya mambo ya kufua nepi,kunyosha nguo,kupiga deki,kupanga msosi gani uliwe na mambo yote mi siyataki tena nataka kurudi kuwa mwanaume,akambiwa itabidi usubiri kama miezi 9 hivi manake tayari ni mjamzito!
sasa jameni hebu mtupe tu hizo chapaaa siye tunawafanyia mambo mengi ati!LOL!ngoja waje hapa watakavonikimbiza BADILI TABIA,na madame x nizingeni huko kwa mbale manake namwona Kaizer anajiandaa kurusha ngumi Asprin nae ananivutia kasi Dark City nae anapiga pushap tatizo tu The Boss siku hizi sijui kaadimikia wapi ila angekuwepo hapa ningekomaje na hiyo story niliyotoa!aahahhhhahhhhahha

Kazi nyingi za ndani mbona zinafanywa na mahouse girl! au watoto wako!
 
hahahahahaha snowhite kwani mie nina tatizo na kushare cost? Sina tatizo hata, ila Mume asisahau nafasi yake kama kiongozi....

In reality hata mume akianguka kama mkewe na namshika mkono, aibu yake aibu yangu, anguko lake anguko langu .....

Ninachopinga ni kupitiliza, kuna wanaume wengine hajui hata msosi unatoka wapi sasa uanaume uko wapi?

Wengine hata uniform za watoto hawajui ukihoji atakwambia cost sharing, hizo sharing ni kwa mke tu mbona nyumba ndogo wanatapanya?

Nikupe mfano hai kuna mtu walikuwa na joint akaunti na mumewe, mke hakuwahi kuzoa hela kwenye ile akaunti..mwanzoni woze walikuwy wanacontribute wanaweka hela (akaunti ilikuwa mahususi kwa emergency, shurti hakuna kutoa kati yao) ikaanza taratibu mume akaacha kupeleka pesa..... Mke kuuliza mume haeleweki, kumbuka hapo hawajengi wala hawajanunua kitu, mke akaendelea kuweka (bahati ana kipato kizuri) siku ya a siku mke kuuliza balance almanusra amneep israeli hela ilivyokombwa (akaunti ilikuwa any one to sign, hivyo mume au mke aliweza kuchukua bila uhitaji wa mwenzie) kupeleleza mume ana nyumba ndogo kainunulia gari na kiwanja, kwa hela ya mkewe..... mke akaamua kukomba hela zote akaingiza kwenye akaunti yake kimya kimya.....

Sasa kwa hali kama hii mke atataka kuchangia?

Uswazi huku mara ngapi tunaona mume kahangaika na mkewe maisha yakiwa mazuri anamfukuza mke na wanae?

Wanaume wangapi mke anashindia ugali na mchiche yeye anahonga na kuzoa ofa?

Wnawake wameshtuka banaaaa

kabla ya cost sharing inabidi utagakari kwa tabia za mume wangu hatokuja kuniumiza? Akiona utakuja muumiza hela yake hushiki ng'ooooooooooooooooooooooooo
 
Kumbe wewe BADILI TABIA unawaongelea irresponsible husbands/men?

Sie wenzeko na akili zetu hatuwezi kuwajadili vichaa wasiookota makopo!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom