Mishahara ya Wake Zetu

hii sred hii inaonyesha ndoa nyingi hazikujengwa na mapenzi, wengine wameoana ili apate huduma, hta kunyonyesha mtu anataka alipwe, kweli kabisa ni mtoto wako au wajirani anayenyonyeshwa? hata kupika chakula utakachokula mwenyewe nayo unaona unamfanyia mtu favour, makubwa haya
 
Sasa jamani mwili mmoja unawezaje kuwa na mishahara miwili? Si mwili mmoja macho mawili, sasa nazitolea macho ya kutoka wapi. Ina maana mwili huu una macho manne!

Unajua, wanawake walipoamua kuwasaidia waume zao kwa kufanya kazi na kutafuta pesa kwa ajili ya matumizi madogo madogo, wanaume ndio wakabweteka kabisaaaaaaaaaaaaa. Imefikia wanadai pesa za wake zao, wengine wanadiriki hata kulala tu majumbani na mke ndio atafute na kuhudumia familia, Ukiwaambia wanaaanza maneno ooo mwili mmoja, ooo kama ni hivyo usifanye kazi! nawashangaa sana wanaume.

Tafadhali waume simameni kidete katika wajibu wenu wa kutunza wake zenu na familia. Msiangalie pesa ya mke!lol mimi pesa ya mshahara wangu hamuipati ng'ooooooooooooooo
 
kila mtu ana uhuru wa kuongea......!!!!!??????
 
Unadhani mtu anapoanza kuita jinsia nyingine midudu kutakuwa na hoja hapo? Kila mtu ataanza kuwaka tu. Ila ni kweli inakera, inabidi kujadili hoja na sio kutetea jinsia.

NI KWELI,watu wanatumia lugha za kuumizwa,wanatendwa na wake au waume zao lakini wanajumlisha wanawake au wanaume wote!ni mbaya,hupelekea mijadala kutokuwa na muelekeo sahihi
 
Unajua, wanawake walipoamua kuwasaidia waume zao kwa kufanya kazi na kutafuta pesa kwa ajili ya matumizi madogo madogo, wanaume ndio wakabweteka kabisaaaaaaaaaaaaa. Imefikia wanadai pesa za wake zao, wengine wanadiriki hata kulala tu majumbani na mke ndio atafute na kuhudumia familia, Ukiwaambia wanaaanza maneno ooo mwili mmoja, ooo kama ni hivyo usifanye kazi! nawashangaa sana wanaume.

Tafadhali waume simameni kidete katika wajibu wenu wa kutunza wake zenu na familia. Msiangalie pesa ya mke!lol mimi pesa ya mshahara wangu hamuipati ng'ooooooooooooooo

Kuna haja ya kulitazama upya agano la ndoa..
Manake sikuwahi kuamini kuwa mwanamke anapotafuta pesa anafanya kama ilimardi tu as anamsaidia mwanaume kuongeza kipato..kwa nini na za mwananamke zisiwe za kusaidia familia??...hapa ndio unakuta wanawake wanakuwa ombaomba once waume zao kwa bahati mbaya wanapoaga dunia..Kwa sababu tangu mwanzo wanakuwa wamejijengea 'dependence syndrome'
By the way how do you qualify that these are 'matumizi madogomadogo'??..Mimi ukiamua kushirikiana na mimi kuwa wazi kwa kila kitu..na kama umeamua kubania hela zako basi zifiche na usinunue hata wanja au rangi za kupaka..acha tu nije nikununulie..si umeamua kuwa mtoto bana!..lol!
 
Sasa jamani mwili mmoja unawezaje kuwa na mishahara miwili? Si mwili mmoja macho mawili, sasa nazitolea macho ya kutoka wapi. Ina maana mwili huu una macho manne!
mwili mmoja ni imani tu lakini akili tofautini, kusikia tofauti, kuona tofauti, hata kufa tofauti majukumu tofauti
 
MadameX,

Naomba ukasome vizuri sheria ya ndoa au omba wataalamu wakusaidie kutafsiri. Kwa mujibu wa sheria hiyo, mtoto wa nje ya ndoa hawezi kurithi mali ya ndoa labda kama baba kamwandikia urithi kwenye wosia.

Na pia ujue kuwa mali za ndoa ni za mume na mke 50 kwa 50%.

Kwa hiyo hoja zako hapa zimetoka nje kidogo!

Kidini kweli hawarithi, lakini sio sheria ya jamhuri ya muungano wa TZ, nimeshaliona hili watoto wa nje wamerithi.
 
Kidini kweli hawarithi, lakini sio sheria ya jamhuri ya muungano wa TZ, nimeshaliona hili watoto wa nje wamerithi.

Siyo kweli MadameX,

Kisheria hairuhusiwi kabisa ingawa watu wanaweza wakawa wanafanya kitu hicho. Hebu jaribu kumuuliza mwanasheria yeyote halafu utupe feedback.
 
Last edited by a moderator:

leo nadhani nimeujua vema msemo wa kiswahili usemao ndoa ni ndoano (Satanic Idea), Nasema hivyo kwasababu moja, kwa wale wakristo na wanaoamini katika ndoa aliyoiunganisha mungu ndoa si ndoano, wala ndoa si pingu za maisha(mstari huo haupo katika maandiko ya biblia wala vitabu vitakatifu) ambavyohutumika kuwaunganisha watu (achilia mbali ndoa za kiserikali na kimila)

Ndoa ni taasisi nyeti iliyoanzishwa na mungu iwe mbaraka kwa wawili waunganao maisha yao yote, alifanya hivyo mungu katika ndoa ya kwanza ya adamu na Eva (mwanzo 2:23-24) Ndoa “iliwekwa” na Mungu kwa sababu kuwa “si vema huyo mtu awe peke yake” (Mwanzo 2:18).

sasa katika maisha ya leo, watu wanahisi ndoa ni taasisi za kijamii tu au ndoa ni nyumba ya disko unapolipia unacheza mziki, ukichoka unaondoka, tukiijua maana halisi ya ndoa kama ilivyoanzishwa na mungu mada hii inajibika, rejea tena maandiko hapa kabla sijatoa hitimisho la kuchangia mada

Mwanamume na mwanamke, wakati wameoana wanakuwa “mwili mmoja.” Huu umoja umedhihirishwa mara nyingi katika biblia. Agano Jipya inaongeza onyo kuhusu umoja huu. “Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe” (Mathayo 19:6). “Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mana yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja” (Waefeso 5:31).

Wakati mme Mkristo na mke Mkristo wanaitumia kanuni ya Mungu, ndoa ya Kibibilia hutokea. Ndoa ambayo imeanzishwa kwa misingi ya Bibilia ndio ile ambayo iko wastani, Kristo akiwa kichwa cha mwanamume pamoja na mkewe. Dhana ya kibibilia kuhusu ndoa ni umoja kwa wanandoa ambayo yaleta picha ya umoja kati ya Kristo na Kanisa.

sasa nihitimishe kwa kusema tukijua kuwa ndoa ni umoja na utaratibu na mmekuwa mwili mmoja, vipi mtashindwa kusaidiana majukumu? kwa tafsiri ya biblia alicho nacho mwanaume ni cha mke na kinyume chake ni halisia, si wawili tena, hamtendi katika migawanyiko tena, bali kikiwapo kitu mtafanya kwa uwazi na kama ni mishahara kila mmoja ataujuwa wa mwenzi wake na mtapeana majukumu kulingana na makubalianona kipato chenu na malengo, kwani mwajenga nyumba moja na mtafanya tena katika usawa. kinyume na hapo ndoa hiyo ni uadui tena si aliyoanzisha mungu bali idea ya kishetani, ya ndoa ni ndoano.na kwa mawazo ya ndoa ni ndoano leo ndoa hazidumu na hazina amani

Umenena vema sana,comments nyingine ni hadithi tu za JF
 
Kidini kweli hawarithi, lakini sio sheria ya jamhuri ya muungano wa TZ, nimeshaliona hili watoto wa nje wamerithi.

MadameX, kama una katoto ka nje chukua tahadhali mapema; Mtoto wa nje huwa harithi. Soma hii kidogo extract from an essay by Prof. Rwezaura

Inheritance Rights for Illegitimate Children The case of Violet Ishengoma Kahangwa v. Adm'r Gen'l points in another direction. It illustrates the fact that, unlike statutory reforms, changes made by judges are usually uneven and take much longer to accomplish. The case also reveals the difficulties judges who operate in a pluralistic legal system face. In this case, two minors applied, through a next of kin, for a share of their late father's estate. The two main issues before the court were first, to determine the law applicable to the dispute, and second, to determine the status of these two applicants. The evidence the court accepted showed that Bruno Kahangwa, the deceased, married the children's mother in 1986, in accordance with the Haya customary law. This marriage was invalid, however, under the LMA because the deceased previously had contracted a monogamous marriage in 1982, and this marriage had not been dissolved legally. Therefore, in accordance with the LMA, the deceased lacked the legal capacity to contract a second customary marriage, and the children born from that union were illegitimate. Notably, the probate court that decided the initial question of the applicable law to the distribution of the deceased's estate held that the customary law of the Bahaya community, to which the deceased belonged, was the proper law to apply. However, when the question of distribution of the estate was considered, the same court held that the two children were not entitled to any share, because under Bahaya customary law, a child born to unmarried parents has no right to inherit his or her father's property on intestate death. What happened here is that a legal concept derived from the general law of marriage was superimposed on customary law to produce a result that disentitled two children from a share in their father's estate. Thus, the denial of inheritance rights to the applicants, though presumably sound in law, is a consequence of what might be called "runaway" legal pluralism. The feeling of uneasiness the final outcome of this case generates seems to have been shared by the Justices of Appeal who, in their effort to distance their judicial role from their own feelings as persons, noted that it would be advisable in such cases for fathers who feel morally bound towards their illegitimate children to make a proper testament before their demise. "That action would go some way to alleviate the hardship often facing illegitimate children; it would make easier the task of the courts in handling such cases when they came to court, and it would serve to put the conscience of the putative father at some ease." But, this is simply a cry in the wilderness, for as the Chairman of the Tanzania Law Reform Commission himself recently conceded, "most of our people do not know how to draw up a will that could be honored in a court of law because they are not aware of the legal requirements." I dare say also that most people in Tanzania believe that drawing up a will is an invitation to death.
 
Back
Top Bottom