bullshit! kuna siku nilishangaa sana, wife aliniomba nauli kwenda kazini na ilikuwa tarehe km5 hivi na ilikuwa siku 3 tu baada ya kupata mshahara wake! nilimshangaa mwili mzima. mshahara wake anafanyia nini hata nauli nimpe mimi?
It is a stresssfully experience, wanawake wanatofautiana try your card but as for my wife I have just decided to be a man and take care of the family, if she goes to salon with all her salary it is okay, tired. Hii midudu Ni mibinafsi.
huwa naichukia mijadala yote ambayo huishia kuwa MEN VS WOMEN BATTLE, watu badala ya kuchangia hoja wanabaki kutetea na kupigania jinsia zao bila ya hoja za msingi!natamani siku moja tujadili haya mambo bila kusimamia ktk jinsia zetu bali hoja zenye mashiko!
Hapa tumeconclude nini wapendwa?
shule nzuri tu kwa wenye masikio, macho na uwezo wa kusoma na uelewa. ndivyo niishivyo na wife. hajawahi niuliza napata sh. ngapa lkn anajua changu kikubwa zaidi ya mara 2 kwa chake. mimi najua take home yake kwani mimi ndo nimekabidhiwa ATM, nachukua kama ninashida natumia, namjulisha na hawezi/hajawahi kataa hata siku moja. Yeye akiwa na shida ananiambia, na tunasolve fasta kama salio langu linasoma.
may God Bless You...
nimekuombea Baraka kwa Imani
******************************
Mshara wangu una cover all Home Needs, Misosi Bills za Umeme, maji, Mlinzi nk...lakini nyie wenu mkiupata tu, Mnakumbuka shida za kwenu tu, this is not Fair
umeona enh?mi ndo hapo wanaponikera sikatai kuchangia majukumu lakini na wao wanatubore tunapowaachia loop hole tu,wengi wao wanamalizia hela kwa vishtobe,sasa mi nijibane nisinunue maorzon suit yangu navaa mikplini,ili tumalizie mjengo ye pesa yako kugawa offer bar,akha mwenzangu!si bora nikuchune mie wa halali!ahahahahhahahhah leo nitabondwaje hapa! BADILI TABIA uniokoe yakinizidi ahahhahhah!
kuna siku nilichoka pale Ancle wangu alipoambiawa na Anti kwamba hana simu yeye akauliza kwamba mshahara wako unafanyia nini nilichoka kabisa Mpaka leo suala la kuoa nalifikiria Demu niliyekua naye akaanza naye kunipiga vizinga vingi kumbe amechukua majukumu ya baba yake ati anamsomesha mdogo wake mi nikachoka alivyoona kuwa sikati salio kama mategemeo yake akapunguza huduma mpaka leo mwezi watatu sasa
Yake ni yetu, yangu ni yangu lol.....acheni kukimbia majukumu kiaina
My wife yupo transparent sana kwa mshahara wake. Mara kadhaa hunipa card nikamtolee ela kama naenda mjini. Mshahara wake unatumika kununua almost 90% ya chakula na matumizi mengine ya hom. Wa kwangu japo ni mkubwa zaidi sijui hata unaishia wapi. Sana sana nahakikisha gari yake na yangu haziishi mafuta. Zingine... mh! hata mi nashangaaga. Sijui kuna vizee vinanibukula mtaani!!!
kipato ni mazungumzo na makubaliano, Mke anaweza kukubali au kukataa, inategemea na mnavyokubaliana, kumbuka wewe ni kichwa cha familia, (hii kimjini mjini)
(kiuhalisia ) inazegemea vila mtakavyopanga na jinsi mlivyojijenga toka mwanzo......
(ushuhuda)
1. Mnaweza kuamua mama atunze familia na mshahara wa baba ukatumika kwenye ujenzi (ila hutegemea nani ana kioato kikubwa)
2. Au mkagawana majukumu kuchangia sawa kwenye shughuli za maendeleo
3. Au kwa wanaumme ambao hawataki kutumia pesa za wake zao kutegemea na male ego zao, mshahara wa mke hajihusishi nao, atajua jinsi ya kuutumia ashimdwe mwenyewe..
4. Kuna ambao mambo makubwa hufanya mume kama ujenzi, ada, misosi, nk na mambo madogo ambayo huwa ni mengi ndani ya nyumba na yanayokula fedha kidogo kidogo kwa wingi anacover mke kama nguo za watoto, mume hg, matatizo
ya ndugu wa mke na mume, sukari, chumvi, sokoni, mboga, umeme, maji, hg, mlinzi, shambaboy, n.k
ZINGATIO
pangeni vile mpendavyo na mnavyoona inawafaa, kutegemeana na malengo yenu na kipato cha kila mmoja na majukumu ya pande zote mbili... Ila Kumbuka mpange muwezavyo bado jukumu la kumpendezesha mkeo ni lako, hela ya saluni, perfume nk loh......uanaume kazi...
jikague mkuu, hunywi? Hutoi ofa? Huna nyumba ndogo? Hujengi? Si hodari wa kuchangia hadi kipaimara?
bullshit! kuna siku nilishangaa sana, wife aliniomba nauli kwenda kazini na ilikuwa tarehe km5 hivi na ilikuwa siku 3 tu baada ya kupata mshahara wake! nilimshangaa mwili mzima. mshahara wake anafanyia nini hata nauli nimpe mimi?
[/QUOTE]It is a stresssfully experience, wanawake wanatofautiana try your card but as for my wife I have just decided to be a man and take care of the family, if she goes to salon with all her salary it is okay, tired. Hii midudu Ni mibinafsi
QUOTE=Mkusa;4696862]Wakuu,
Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu