gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
kiukweli matumizi ya fedha kati ya wanandoa yanategemea mipango yao binafsi.
mimi bnafsi sipendi hela za kuaomba na wala sipend life standard ya familia iwe mbaya. what we do huwa tunapriotise each month kwamba tunakazi gani mbele yetu. iliyopo tunaangalia kipato chetu wawili kinaweza kusustain vipi kazi husika. hii ni ile inayobaki baada ya kushop for groceries, na other costs pamoja na za kuwapa wazazi kila mwezi.
kuhusu kwenda salun kwa mm hiyo ninaifanya alone but siku moja moja hubby ana sponsor ili kuonyesha kujali. kuhusu mavazi ya kids na sisi wenyewe huwa tuna karatiba ambako tunakafwata na inapotokea umekutana na kitu kizuri ukakitamani basi unaweza kununua.
malipo ya watumish wa kazi iwe shamba ama home nayo pia tuna fanya collectively hakunaga pesa za mama wala za baba zote ni za familia na tunahakikisha zinafanya kazi zafamilia.
michango ya harusi, k/party na send offs zikuhizi hatuchangi kabisa wala hatauendi, tunatoa rambi rambi kwenye misiba na kusaidia wakati wa ugonjwa basi. tulifikia hapo baada ya kuona kwamba kwa mwezi unaweza kuwa na kadi hata 15 zote michango so unajikuta zaid ya kuchanga huna kingane unachofanya.
yote ni sawa ila inategemea wewe na mkeo mtapanga vipi jinsi ya kutumia kipato chenu, sio vibaya kadi zenu za benki zikawa eneo ambalo ni accessible kwa nyie wote wawili, na sion kama kuna ubaya hata pasword mkipeana so long as mnatumia hela vizuri.
sipendi daima milele mwanaume mfujaji na nashukuru sana Mungu hakunipa wa aina hiayo manake kiukweli lazima angeniua tu. mimi kwangu cheza na mimi utakavyo but not hivi vitu viwili, watoto na pesa/mali zangu lol! hapo lazima nitawakilisha lile kundi la upalestina sina masihara.