Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Kama ni kweli kuna shida, yaani rais wa Tanzania apokee pesa kwa dolari badala ya shilingi za ki-Tanzania. Hiyo si sawa.
Tujitahidi kufatilia kwanza watanzania, so tunatoa story za mtaan ambapo wengi so wafatiliaji, mshahara wa rais wa sasa ni shilingi za kitanzania million 9tzs, = dola 4008$ = shilingi za Kenya 400,800ksh.
 
Ikiwa mkuu wa wilaya analipwa 5m per month,Fanya kupanda kwa RC,kisha mawaziri,manaibu,waziri mkuu,mkuu wa majeshi,makamo Raisi+Raisi mwenyewe!!With that being said,na ukizingatia si bara la giza,acha tubaki gizani tu maana hawajauweka wazi maksudi KBS kwakua wanajua reaction ya wananchi itakuaje+Nitakua ni suala LA kisiasa
 
Dc ni raisi kwenye wilaya mbona umemshusha hapo kwa mkuu wa majeshi .cdf anampigia saluti dc
 
Mkuu si kweli cdf anampigia salute dc,
Cdf hata mkuu wa mkoa hampigii salute,
Kwanza ni ngumu kukutana

Cdf anampigia salute waziri kwenda juu
Dc ni raisi kwenye wilaya mbona umemshusha hapo kwa mkuu wa majeshi .cdf anampigia saluti dc
 
Mbona kwenye ile hotuba ya ikulu jiwe alisema kuwa kwa mwezi mshahara wake ni 9mil
 
Mkuu si kweli cdf anampigia salute dc,
Cdf hata mkuu wa mkoa hampigii salute,
Kwanza ni ngumu kukutana

Cdf anampigia salute waziri kwenda juu[/fatilia utaamini najua ni ngumu kuamini ila ndio ukweli wenyewe
 
Honestly Rais wa Tanzania kulipwa 9m ni kudhalilisha taasisi husika, binafsi sitaki kuamini km jiwe analipwa pesa hiyo!

For rumors ni Kwamba Tanzania president is on the highly paid Presidents in Africa!
 
Nchi zetu maskini tunafkiri hela ni power au kutokuwa na hela ni kudhalilisha taasisi! Tuangalie ulaya kwa wakubwa. 1. Teresa May -£150,402.00
2.Rais wa Ufaransa- €21194,52
3.Brasil Rais - 120,000 USD
4.Uganda Rais - 183,000 USD.
God Bless Africa not its current people
 
Eaqaq,sswwwsweem,sez,eqwasss'3aese d'Qaamawaawss3sswwssseaeok(sswdz3sawdxzw~saw@wawassssssswzsdwasej

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo Kumbe muhenga humu. Hongerasana. Uzi huu una zaidi ya miaka 10
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: _ID
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…