Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Walimu msiokuwa na chanzo kingine mnakera kha!! Mwalimu Lima basi ata mchicha uache kudeka deka mitandaoni. Mwalimu unakuwa mjinga ivyo sasa mwanafunzi utamtoaje ujinga?
 
JPM was a very strong leader, Talented and visionary.

Sema na alikua na uelewa mkubwa Sana kuliko jamii anayoiongoza iliozoea Business as usual
(Kwenye Business as usual ndio vyama vya upinzani, mabeberu na wasioitakia mena nchi yetu Wana capitalize kufanikisha miradi yao)

Tayari ni Marehemu lakini Karibu Kila thread bado inamzungumzia kuliko hata Raisi aliye hai.

Namuomba mungu kwa kufunga na kusali 2025 tumpate Raisi atakae deal na Business as usual kwa viongozi na watumishi serikali.

Ee- mungu liongoze taifa la Tanzania.
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.

View attachment 1828726
Yeye anajitoa kama siyo mfanyakazi
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.
1624611229814.png
 
Alan, kachelewesha mara ngapi? Kwa mujibu wa mikataba wako anapaswa kulipwa lini????
 
Serikali huwezi kuipangia ikulipe tarehe ngapi ,mwezi una siku 28 hivo unaweza lipwa Siku ya 28 .
utumie mshahara wako vibaya uanze kumlaumu Samia.
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.

View attachment 1828726

Tafsiri yako ya "kuchelewa" ni ipi kwani?

Mwezi una siku 30 la leo ndiyo siku ya 24 tu, kuchelewa kuko wapi hapo..?

Ingekuwa imesha - overlap mwezi mwingine, huko ndiko kuchelewa...

Kwa maoni yangu, hapa bado hakuna kuchelewa....
 
Ili swali kua walipotea sababu gani ningekuuliza wewe MSU KUMAAA
Kataje hicho kiungo mbele ya mama yako halafu uone kama hajakutia bakora, badala ya kujifunza vitu vya maana we ndio kwanza unajifunza kutukana.
 
Mama taratibu anaipeleka tarehe 30, maana hizi tarehe 22/23 zilitumika kama chaka la mwendazake
 
Back
Top Bottom