las Casas
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 575
- 711
Wengine tumepanda mkuu, kazi ya kukagua ,kuingiza taarifa na kuandaa barua nilihusika vizuri sana tena weekend nashukuru sijakosekana katika waliopanda . Wale wanaoponda watumishi kutegemea salary wao mambo safi sana acha sisi tuendelee kufaidi matunda kupitia salaryNatarajia kilio nchi nzima mishahara kutobadilika mwezi huu, yangu macho na masikio kuhusu madaraja mapya. Kwn mpk sasa waliopata wanasema kitu ni kile kile.