Misemo ya kisasa, add yours

RECYCLER

Senior Member
Jan 14, 2012
104
10
1.Kujua kugonga msumari haitoshi kuitwa fundi.

2.Kuwa na dada wengi sio kujua kutong0za.

3.Kujikwaa ni kwenda mbele.

4.Akumulikaye mchana usiku hukuzimia taa.

5.Kukaa karibu na mahakama sio kujua mafisadi.

6.Asie sikia la mkuu ujue anataka kufanya mapinduzi.

7.Kelele za mbu hazitoboi net.

8.Akutongozaye mchana usiku anakubaka.

9.Samaki mkunje mpaka aingie kwenye sufuria.

10.Haba na haba haba mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom