Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Mirathi ya Le Mutuz iligawanywaje?

Maisha yanabadilika muda wowote tuishi kwa tahadhari sana
 
Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari

Mtu yeyote bachelor mirathi yake huwa inaisha kwa amani.

Le mutuz alikuwa hana mke. Hivyo familia yake imegawana kwa aman.

Ni kama Ruge mutahaba vile hakuwa na mke na yeye mirathi yake imegawanywa kwa amani.

Ila kama Le mutuz angekuwa ameoa leo hii kungekuwa na vita kubwa kugombea vijumba vyake vya kinyerezi na kule kwingine
 
Back
Top Bottom