Jimbo la Manonga - Wilaya ya Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941
Seif Gulamali (Mb) Tunaishukuru Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na Dr . Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kwa kutupatia fedha kutoka Serikali Kuu kutekeleza Miradi Mbalimbali Jimboni

1. Ujenzi wa vyumba 3 vya Madarasa Ziba secondari Milion 78,000,000/=

2. Ujenzi wa vyumba 2 vya Madarasa Choma secondari Milioni 52,000,000/=

3. Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo Mwisi secondari milioni 5,000,000/=

4. Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo Ziba Secondari Milioni 6,000,000/=

5. Ujenzi wa Matundu 9 ya Vyoo Shule ya Msingi Mwakabuta KATA ya UGAKA Milioni 9,800,000/=

6. Ujenzi wa Matundu 9 ya Vyoo Shule ya Msingi Ndembezi KATA ya NDEMBEZI Milioni 9,800,000/=

7. Ujenzi wa Matundu 9 ya Vyoo Shule ya Msingi Ncheli KATA ya SUNGWIZI Milioni 9,800,000/=

8. Ujenzi wa Matundu 9 ya vyoo Shule Msingi Mwina KATA ya IGOWEKO Milioni 9,800,000/=

9. Ukamilishaji wa Zahanati ya Kijiji cha Nguriti KATA YA SUNGWIZI Milioni 50,000,000/=

10. Ukamilishaji wa Zahanati ya Kijiji Cha Ntigu KATA ya KITANGILI Milioni 50,000,000/=

11. Ununuzi wa Vifaa Tiba kituo Cha Afya Ziba Milioni 300,000,000/=

12. Fedha za kuchochea Maendeleo Jimboni MFUKO WA JIMBO Milioni 74,540 , 000/=

13.Uenzi wa Nyumba Mpya ya kisasa ya Mkurugenzi Halimashauri ya Wilaya Igunga Milioni 180,000,000/=

14. Ukarabati Hospitali ya Wilaya ya Igunga Milioni 900,000,000/=

15.Chanjo ya Uviko na Chanjo nyinginezo(AFYA) Milioni 64,261,000/=

16. Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ngazi ya Halimashauri ( PO - RALG SEQUIP ) Milioni 8,000,000/=

17. HSBF FACLTIES Milioni 207,120,375.00/=

Fedha hizi
zimepokelewa tarehe 1Novemba 2023 kwenye Halimashauri yetu

MANONGA KAZI KWA VITENDO KAZI IENDELEE

IMETOLEWA NA OFISI YA MBUNGE
2 NOVEMBA 2023

WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.36.05.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.36.04.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.36.02.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.35.59.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.35.58.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.35.55.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-02 at 20.35.49.jpeg
 
Seif gulamali,ndugu yangu
Nenda kagombee Igunga pale
Hawana mbunge
Nenda kawatete raia wanyonge
Shilole mwenyewe kawatenga
Yule nikolasi hamna kitu🙏
 
Acha ujinga, wewe nenda India ukawe hata Mwenyekiti wa Kitongoji tuone
Asili ya Nyerere siyo utusini!?..ulishawahi kulia!?..mkapa siyo msumbiji!...ule uuzaji wa mashirika ya umma kwa Bei ya beberu 11 haikutokana na kuwa na asili ya msumbiji!?..ulibweka!?
 
Back
Top Bottom