Miradi ya Maprofesa wa Bongo

2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE ) hawa wametishaaa ..... mwendo wa K-vant wakija class wanazinguaaa
 
Maprofesa hao 66 wana mchango gani kwa taifa?

Kuna Tafiti zao zozote zilizo leta mabadiliko makubwa hapa nchini?

Zaidi ya uchawa na kujipendekeza kwa wanasiasa kutafuta Teuzi.

Maprofesa wa Tanzania ni njaa kali, Useless kwa taifa na wasaka post.
 
Sawa umeeleweka...

Ehe ulitaka wamiliki nini sasa

Ova
 

10. Supplementary za kulipia
 
Maproffessor wanafundisha na kufanya consultation kila siku, wanashindwa kufanya tafiti zenye tija kwa ukosefu wa vifaa na pesa, serikali imeitelekeza sayansi na teknolojia na hilo ni kosa mkubwa sana la kiufundi. Wamebaki omba omba kwa kuandika proposals kila kukicha kwa mabeberu ambao nao wana interest zao.
Huyo aliyezuia kongamano unamlaumu bure kwani nchi imeshikwa na waliomweka hapo, na ndio waamuzi wa kila kitu, wanasiasa wanajifanya wajuaji, miungu watu na we ye kiburi.
Nadhani anaongelea mapato yote sio mshahara. Kuna maproff wanafundisha vyuo zaidi ya kimoja. So inawezekana.
Sasa huo si sehemu ya mshahara na huwa ni kwa kipindi fulani tu, wapo wenye project za mabilioni na wapo waliochoka haswa kama huna mradi au consultation work. Tatizo tunajichanganya kufikiri Prof akifanya biashara itakuwa sana si kweli
 
Kwa wanaojitambua (nchi) maprofesa wanajikita kwenye mambo ya utafiti na utaalam. Huwezi kukuta wanafanya vi-miradi njaa kama hapa kwetu.
Hata hapa wanafanya utafiti sana tu! Hebu nenda utafute ukweli kuhusu hii project pale SUA.
 

Attachments

  • Screenshot_20231007-153435_Chrome.jpg
    93.2 KB · Views: 2
Infact mimi silaumu mtu mmoja mmoja bali nalaumu kwa ujumla japo angeweza ku-react kisomi zaidi na siyo kama robot lililoamrishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…