Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

Ahsante kwa taarifa,hata kama sio hiyo barua state house anarudi mpiganaji JPM.
 
Watanzania tuna akili ya kusikiliza wagombea na kuamua. Yule mnaeyemchukia sana, ndiye anayefaa. Yule mliyetaka kumuua, ndiye anayefaa. Tarehe 28 Oktoba 2020, tutaamua kati ya "Kazi tu - bila nyongeza ya mishahara kwa miaka 10 + madaraja, ndege, barabara..." ama "Uhuru na kazi - kazi na uhuru wa kujieleza na kukusanyika + maendeleo".

Haya mabarua yenu ya uongo, yenye Kiingereza cha kuungaunga, pelekeni TBC wawatangazie. Siyo hapa JF. Wala hatuhitaji mabarua kuamua. Watanzania wa leo siyo wajinga. Propaganda ziliwasaidia wakati wa vita ya Idd Amini 1979. Leo ni 2020, hazitawasaidia. Tunaweza kupata maendeleo tukiwa huru. Freedom and development are not mutually exclusive.
Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa.

View attachment 1547398
 
Sasa kama wanaamini shambulio la Lisu lilipangwa na hao jamaa kwanini hakumshauri Magufuli kuwe uchunguzi huru. Yaani vichekesho hivi iwe kweli kabisa Lisu hakupigwa risasi 16 na government halafu wakatae uchunguzi, kweli jamani?
 
Nimegoogle huyo tunae ambiwa kaandika barua simpati, nimegoogle hiyo WIW nayo siipati: Mawili sijui kutumia hii technology au more likely tunalishwa matango pori-washenzi kazini.
Yaani unataka tuamini risasi 30 kajifanyiza ili apate huruma? Ushindwe na ulegee.
Ku google huo utopolo ni kuonyesha una chembembe za kuuamini! Ukiitazama tu hiyo barua kama ni mzoefu wa haya mambo unabaini haraka kuwa ni ya kubumba na hutapoteza tena muda wa kuhangaika nayo!
 
Mbona barua imekaa kizaramo Sana!! Wazungu hawana uandishi wa kimbea hivyo.
 
What they calling the big sacrifice nimeishia hapo.Nasubiri report ya kiswahili hiI kingereza chake kigumu sielewi.
 
Back
Top Bottom